NDANI YA NIPASHE LEO

18Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Jenerali Mabeyo amesema ameweka wazi maagizo mawili aliyopewa na Rais Magufuli alipobaini alikuwa anakaribia kufariki dunia; kwanza aliagiza aondolewe Hospitali ya Mzena, iliyoko Makumbusho, Dar es...
18Mar 2024
Nipashe
Hakuna tarehe rasmi iliyotolewa na haijulikani ni wamarekani wangapi watakaoweza kuhamishwa kutoka Haiti.VOA imeripoti kuwa, Ubalozi wa Marekani nchini Haiti umesema raia hao watahamishwa kutoka mji...

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi.

14Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchezo huo umepangwa kuanza saa 2:00 usiku huku macho ya mashabiki na wadau wakitaka kuona kama mabingwa hao watetezi wataendeleza kasi ya ushindi kwenye michezo ya Ligi Kuu.Yanga itakabiliana na...

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha.

14Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
Taarifa za uhakika zilizoifikia Nipashe zinasema Benchikha aliondoka nchini kuelekea Algeria siku chache zilizopita kwa ajili ya kuhudhuria kozi ya juu ya ukocha, lakini  baada ya kutangazwa...

​​​​​​​KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis.

14Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
DW imeripoti kuwa, Papa Francis ameyasema haya katika kitabu kipya ambacho dondoo zake zimechapishwa katika gazeti la Corriere della Sera huko Nchini Italia.Katika kitabu hicho kinachotarajiwa...

Mbwana Samatta.

14Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
Nyota mwingine aliyeachwa katika kikosi hicho ni golikipa, Beno Kakolanya.Hata hivyo, mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na beki wa kati wa Simba, Kennedy Juma, wamerejea katika kikosi hicho....

Rais wa Yanga, Hersi Said.

14Mar 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Yajipanga kutorudia kilichotokea 2001, Gamondi kumaliza 'kazi' nyumbani...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga watakutana na vigogo hao kutoka Afrika Kusini mechi ya kwanza wakianzia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Machi 29 na 31, mwaka huu....
14Mar 2024
Rahma Kisilwa
Nipashe
KASI ya kiwango cha mfumko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2024, imeshuka hadi asilimia 5.10 kutoka asilimia 5.26 iliyorekodiwa Januari 2024.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei...

Kasa.

14Mar 2024
Rahma Suleiman
Nipashe
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari visiwani Zanzibar, Naibu waziri wa Afya, Hassan Khamis Hafidh, amesema kuwa idadi ya walioripotiwa kupata madhara kwa kula kiumbe hicho imeongezeka na...

​​​​​​​RAIS Samia Suluhu Hassan.

14Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika ujumbe wa aina yake, unaobeba ishara ya itikadi ya uongozi wake, Rais Samia ametumia fursa hiyo kutoa tahadhari ya kiutendaji kuanzia kwenye chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambako yeye...

​​​​​​​MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego.

14Mar 2024
Elisante John
Nipashe
Dendego ambaye amehamishiwa mkoani hapa kutoka Iringa, amesema hayo alipokuwa akizungumza na watumishi baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Peter Serukamba, ambaye amehamishiwa Iringa....

WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba.

14Mar 2024
Ibrahim Joseph
Nipashe
Dk. Nchemba ametoa agizo hilo kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Tawi la Dodoma, jijini hapa.Amewataka wasimamizi hao wa miradi kuimarisha usimamizi wa fedha zote...
14Mar 2024
Shaban Njia
Nipashe
Mwenyekiti wa Mtaa huo, Emmanuel Nangale, amebainisha haya wakati akizungumza na Nipashe Digital kuhusu ushirikishwaji wananchi katika utekelezaji miradi ya maendeleo, hasa ya sekta ya elimu.Amesema...

Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko.

14Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa kutomtambua kama mwanachama wao, uongozi huo umesema hauwezi kumsimamisha Matiko kuwania ubunge kupitia chama hicho.Hivi karibuni, Matiko alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake na...

Mbunge wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi akizungumza na wananchi wa Kitangili kwenye Mkutano wa hadhara.

14Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Katambi amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Kitangili kwenye Mkutano wa hadhara.Katambi ambaye pia Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu...

Mbunge wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi akizungumza na wananchi wa Kitangili kwenye Mkutano wa hadhara.

14Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Katambi amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Kitangili kwenye Mkutano wa hadhara.Katambi ambaye pia Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu...
14Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salum Morcase amesema vitendo vya ubakaji na ulawiti vilifanyika siku moja kabla ya kunyweshwa sumu siku iliyofuata.Kamanda...

​​​​​​​RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu.

14Mar 2024
Nipashe
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa habari nchini humo, Mohammed Idris, ambapo amesema, ndugu wa wanafunzi hao wanasema watekaji nyara wameomba fidia kubwa ili kuwaachilia wanafunzi waliotekwa nyara...

Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Josep Borrel.

14Mar 2024
Nipashe
Ubelgiji ambayo sasa ni mwenyekiti wa umoja huo imesema mabalozi kutoka mataifa hayo 27 wamekubaliana kimsingi juu ya mpango wa kusaidia upelekaji wa silaha nchini Ukraine.DW imeripoti kuwa, Mchango...
13Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa amekosea kama adhabu.Hata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani...

Pages