NDANI YA NIPASHE LEO
04Jan 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Chama hicho kimesema endapo Lowassa asipofanya hivyo, lengo lake litakuwa ni kutaka kuigombanisha serikali iliyoko madarakani na wafanyabiashara wakubwa ambao ndiyo walipaji kodi wa nchi....
04Jan 2016
Nipashe
Tamko hilo la serikali lilitolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Vuga, mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki....
04Jan 2016
Nipashe
Abiria hao walikwama mjini Dodoma wakitokea Mikoa ya Kigoma, Mwanza na Tabora wakielekea Dar es Salaam na Morogoro.
Kufuatia hali hiyo, uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), ulilazimika...
04Jan 2016
Nipashe
Katika wilaya ya Mjini, wananchi wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, mwishoni mwa wiki walisafisha mitaro ya kupitisha maji machafu pamoja na kukusanya taka ngumu...
04Jan 2016
Nipashe
Hayo yalitangazwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, jijini Dar es Salaam jana wakati wa kikao cha pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano),...
31Dec 2015
Editor
Nipashe
Inataka kufanana na mwaka 2005 wakati Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, alipoingia madarakani kuliibuka wimbi la ujambazi na hali hiyo imejirudia tena mwaka huu baada ya Rais Dk. John Magufuli...
31Dec 2015
Nipashe
Mo, bilionea kijana zaidi Tanania, ametenga kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kuiendesha kibiashara klabu hiyo kongwe nchini.
Wakati uongozi wa Simba umemtaka Mo kuwasilisha maombi rasmi juu ya...
31Dec 2015
Nipashe
Mshambuliaji huyo anayewania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika anayecheza barani, aliyasema hayo katika mazungumzo yake na Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye jijini Dar es Saaam...
31Dec 2015
Nipashe
Kutokana na kutokamilisha taratibu na kanuni mpya ya Leseni za Klabu (Club Licensing)
Malinzi aliyasema hayo wakati akitoa salama zake za kufunga mwaka kwa wadau wa soka nchini, akieleza kuwa hakuna hata klabu moja inayoshiriki ya Ligi Kuu Bara (VPL) msimu huu iliyo na sifa za kuitwa...
31Dec 2015
Nipashe
juzi, kocha mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amemwagia sifa watokeo benchini Ramadhani Singano 'Messi' na Mudathir Yahaya akidai 'ndiyo waliomaliza mchezo'.
Azam, mabingwa wapya wa Kombe la Kagame...
31Dec 2015
Nipashe
Makonda alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa, lengo ni kuhakikisha wanafunzi 3,183 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2015...
31Dec 2015
Nipashe
Chadema kimeamua kumwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, Ubalozi wa Marekani na wa Umoja wa Ulaya, Mratibu Mkaazi iliyobainisha hujuma zinazofanywa na CCM.
Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho,...
31Dec 2015
Nipashe
Hata hivyo, tayari watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa ajili ya kuhojiwa zaidi kutokana na mauaji hayo.
Mahole aliuawa nyumbani kwake juzi majira ya saa 2:30 usiku katika...
31Dec 2015
Nipashe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alitoa rai hiyo wakati akizungumza na wakimbizi kutoka nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) waliopo katika kambi ya Nyalugusu, wilayani Kasulu...
31Dec 2015
Nipashe
Hatua hiyo inafuatia baada ya siku 14 kumalizika zilizotolewa na serikali katika tangazo la utolewaji wa vibali vya kazi kwa wageni nchini.
Tangazo hilo lilisainiwa Desemba 14, mwaka huu na...
31Dec 2015
Nipashe
Tamko hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CUF, Ismail Jussa Ladhu, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo eneo la Vuga,...