SAFU »
UKIENDA katika Mahakama za Mwanzo katika ukanda wa juu wa Old Moshi, mkoani Kilimanjaro, nusu ya wahalifu wanaopandishwa kizimbani wanatoka Mbokomu.
KWA muda wa miaka mitano na siku zaidi ya 114, vyama vya siasa havikuwa na fursa ya kufanya mikutano ya hadhara kama sehemu ya shughuli ya siasa nchini.
KARIBU msomaji wangu, leo tunaendeleza mada iliyopita kuhusu wakwe. Nilitaja mambo kadhaa ambayo mke anapaswa kujua kuhusu wakwe. Nikasema ipo misingi na kanuni ambazo tunapaswa kuzingatia...
TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria, zimetoa ripoti ya utafiti wa kutathmini kiwango cha maambukizi ya malaria na utapiamlo miongoni mwa...
TUNAKUKARIBISHA mgeni, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla, ukitokea Dar-es Salaam, ambaye tunaamini sasa umekuja hapa mkoani tuungane pamoja kuchapa kazi za maendeleo na wananchi ukiwa...
HIVI karibuni, Mwenge wa Uhuru ulihitimisha mbio zake mkoani Pwani, ukiwa umepitia miradi 99 yenye thamani ya Shilingi trilioni 4.46 huku kukiwa hakuna hata mradi mmoja uliokataliwa.
RUSHWA ni adui wa haki, utu na heshima ya binadamu, vilevile vitendo vya utoaji na upokeaji rushwa, vimekuwa vikileta vilio karibu sekta zote, sehemu ya kazi na maeneo mengine ya kutolea huduma za...
SASA ni wazi kilio cha wadau hasa wanasiasa waliokuwa wakitamani kufufuliwa kwa mchakato wa katiba mpya kimesikika, hiyo ni kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
MIAKA ya hivi karibuni, umeibuka mtindo wa baadhi ya wanafunzi wanaochagulia kuanza kidato cha kwanza kutoripoti katika shule walizopangiwa, huku kukiwa hakuna taarifa zozote za kutoripoti.
WAKATI tunasoma shule kuanzia shule ya msingi hadi sekondari, tumefundishwa vitu vingi ikiwamo historia za mashujaa wetu, kuna Mtemi Milambo, Mkwawa, Pazi, Songea Mbano, Kinjekitile na wengine...
MITIHANI ya mwisho ya kidato cha sita nchini, imeanza rasmi tarehe mbili mwezi huu wa tano na itakamilika tarehe 22 ya mwezi huu. Mitihani hii itafanyika, sambamba na mitihani ya wanafunzi...
KARIBU tena msomaji wangu tuendelee kuelimishana kuhusu mikiki mikiki ya maisha. Mengi yamejificha katika familia zetu, huku mengine tukiyashuhudia na kudhani kuwa Maisha Ndivyo Yalivyo kumbe ni...
KATI ya masuala ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mara tu baada ya Uhuru, alizama kuyapa msisitizo kwa vitendo, ni kuwapo mikakati suala la usafi katika jamii.