SAFU »

12Dec 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NCHI ya Morocco imeingia kwenye rekodi ya kuwa ya kwanza kuipeleka Afrika kwenye michuano ya Kombe la Dunia ambayo inaendelea kutimua vumbi nchini Qatar.

11Dec 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

LEO ni kilele cha siku 16 za kupinga ukatili duniani. Wadau wamekutana maeneo mbalimbali kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili ambavyo vinaumiza watu wote kwenye jamii.

10Dec 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI Kuu imesimama wiki hii kupisha mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Nchini (TFF), maarufu kama Kombe la FA, ambalo husaka bingwa atakayeiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya...

06Dec 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 inaonyesha kuwa halmashauri 77 zinakabiliwa na uhaba wa matundu ya vyoo zaidi ya 111,931.

05Dec 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTOKANA na malalamiko ya wadau wengi wa michezo nchini, pamoja na kinachoonekana kukua kwa teknolojia hasa kwenye mchezo wa soka, hususan Kombe la Dunia linaloendelea nchini Qatar, Bodi ya Ligi...

29Nov 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU ni mchakato wa kupata maarifa, ustadi, maadili, imani na tabia, inayopatikana baada ya wanafunzi kupelekwa shuleni ili kuvipata vitu hivyo muhimu kwa ajili ya kuwasaidia kumudu maisha yao ya...

27Nov 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

WIKI iliyopita Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, alisema serikali imekuja na mifumo saidizi ya kuwawezesha wanaume kuripoti vitendo vya ukatili...

26Nov 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUNAJUA kwa sasa wanachama wa klabu za Simba na Yanga hawana tena mamlaka ya kuamua mustakabali wa klabu zao kama ilivyokuwa zamani.

24Nov 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ANTIBAIOTIKI ni dawa zitajwa kusababisha usugu katika mwili wa mtumiaji na hata wakati zinaweza kumletea madhara makubwa, ikiwamo kupoteza maisha iwapo atatumia bila maelekezo ya madaktari.

21Nov 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI kukiwa na mashaka juu ya uwezo wa uchezeshaji wa baadhi ya waamuzi hasa kwenye matukio ambayo yanatoa ushindi kwa timu zingine, kuna sehemu ambayo watu ni kama hawaioni au kuizungumzia sana...

21Nov 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI kukiwa na mashaka juu ya uwezo wa uchezeshaji wa baadhi ya waamuzi hasa kwenye matukio ambayo yanatoa ushindi kwa timu zingine, kuna sehemu ambayo watu ni kama hawaioni au kuizungumzia sana...

17Nov 2022
Anaeli Mbise
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI  imeridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/23, waende vyuoni kuendelea na usajili, chini ya utaratibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...

16Nov 2022
Golden Kisapile, TUDARCo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HONGERA Watanzania kwa kuthubutu kuwaokoa wenzetu katika mazingira hatarishi bila kujali kama kuna kuumia hata kufa.

Pages