NDANI YA NIPASHE LEO
18Jan 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, mbunge huyo alisema sababu za kutaka mjadala huo kurejeshwa ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kama ni Kampuni ya Kufua Umeme Tanzania (IPTL) au Umma.
Sababu...
18Jan 2016
Nipashe
“Januari 6, 2016 wanachama wa Tamongsco tulikutana na Waziri wa Elimu na tukawasilisha hoja zetu tano kuhusu mfumo wa GPA na tukamshauri asitishe mfumo huu mpaka pale hoja hizo zitakapojibiwa.”
Aidha, shirikisho hilo limesema Necta imekiuka sheria ya 107(3) (4) kwa kutangaza matokeo ya mtihani huo bila kushirikisha Tamongsco kama sheria inavyoelekeza.
Katibu Mkuu wa shirikisho hilo,...
18Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Mkurugenzi wa kampuni hiyo ambaye pia ndiye aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Mawio lililokuwa likitoka kila wiki, Simon Mkina, alisema wameshItushwa na uamuzi wa...
18Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Wenye hoteli walia, ajira shakani, *Wachumi waonya, Ikulu yafunguka
Kadhalika, baadhi ya wasomi wamesema licha ya dhamira nzuri ya serikali katika kuhakikisha inabana matumizi ili fedha zitakazopatikana zielekezwe katika miradi ya maendeleo, bado kuna haja ya...
16Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Muingereza huyo amekuwa kocha mkuu wa 21 kufungashiwa virago na mabingwa hao mara 18 wa Tanzania Bara tangu mwaka 1998 'vurugu' za kufukuza ovyo makocha zilipoanza Msimbazi.
Kerr (48), Muingereza...
16Jan 2016
Nipashe
Matokeo hayo yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk. Charles Msonde, ambaye alisema waliofanya mtihani huo mwaka jana walikuwa ni wanafunzi 363,666 sawa na...
16Jan 2016
Nipashe
ZEC ilianza kukutana juzi chini Mwenyekiti wake Jecha Salim Jecha na kujadili ajenda moja ya marudio ya Uchaguzi Mkuu.
Taarifa za uhakiza ambazo Nipashe inazo zinasema kuwa ajenda hiyo baada ya...
16Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mbali na Shamte washtakiwa wengine ni Ofisa Mkuu wa Fedha, Raphael Onyango, Mhasibu Said Ally, Ofisa Masoko, Noel Chacha, Msimamzi wa Mtandao, Tinisha Max na Mkuu wa Takwimu wa Biashara wa kampuni...
16Jan 2016
Nipashe
Hayo yalisemwa na vijana hao kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na Mwandishi wetu juzi katika kijiji cha Enzi kata ya Kilulu wilayani Muheza, ambapo vijana wengi wamejiingiza katika vitendo vya...
15Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Muingereza huyo amekuwa kocha wa 21 kutimuliwa Simba tangu 1998 vurugu za kufukuza ovyo makocha zilipoanza Msimbazi ...
Jumatatu klabu hiyo ilitangaza kuachana na Muingereza huyo aliyetua Msimbazi Julai mwaka na kuiongoza timu yao katika mechi 13 za Ligi Kuu, akishinda nane, sare tatu na kupoteza mbili kwenye nafasi...
15Jan 2016
Nipashe
Baadhi ya Sheria hizo ni pamoja ni Sheria namba 27 ya mwaka 1980 ambayo ndiyo inahusika na masuala ya utafutaji na uchimbaji wa gesi na mafuta ndani ya ardhi ya nchi yetu.
Zaidi ya hapo tukaitaja...
15Jan 2016
Nipashe
Ahadi hii aliinadi wakati wa kampeni zake za kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi watakuwa wanasubiri utekelezaji wake.
Kipindi hiki ndicho wazazi wengi wanahangaika...
15Jan 2016
Nipashe
ZEC itimize wajibu wake kwa kufanya majumuisho ya kura na kumtangaza mashindi wa nafasi ya urais wa Zanzibar.”
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu Mtendaji wa JUVICUF Zanzibar, Mahamoud Ali Mahinda, katika taarifa yake ya kuunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kupinga...
15Jan 2016
Nipashe
Katika mwongozo huo, eneo linalozungumzia majukumu ya wazazi na walezi, linasema: “Wazazi na wananchi wengine pia wanatakiwa kuendelea kujitolea nguvukazi na mali ili kuleta ustawi na maendeleo ya...
15Jan 2016
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Revocatus Malimi, alisema jana kuwa tukio hilo limetokea juzi saa sita mchana katika mji mdogo wa Peramiho, nje kidogo ya Manispaa ya Songea.
Malimi alisema...
15Jan 2016
Richard Makore
Nipashe
Moja ya kati vita yake hiyo na serikali ni kuanza kwa msukumo mkubwa wa kudai tume huru ya uchaguzi.
Lowassa alisema hayo wakati akizungumza na wafanyabishara wanaotaka mabadiliko wanaofanya...
14Jan 2016
Nipashe
Kwa hakika,jambo hili limetua mzigo wa karo uliokuwa umewaelemea wazazi wengi hasa wale wenye kipato cha chini ambao wakati mwingine wanashindwa kumudu hata milo mitatu kwa siku.
Pili nampongeza...
14Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Kundi la waandamanaji hao lililobeba bango lililosema ‘Machotara Hizbu Zanzibar ni nchi ya Waafrika’ na kupita mbele ya viongozi wakuu wa kitaifa.
Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa waandamanaji...
14Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Iwe siku za mwishoni mwa wiki au za kawaida ndio zinazidi iwe kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa.
Eneo hili, foleni yake inatokana na makutano ya barabara nne zinazokutana hapo Ubungo.
Magari yatokayo...
14Jan 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu, wiki hii, katika eneo la Kwa Mpenda, Kata ya Kivule, Chanika wilayani Ilala.
Shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mpangaji wa nyumba ya mtuhumiwa,...