NDANI YA NIPASHE LEO
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumzia hatua hiyo, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake NACTVET, Deborah Ngalemwa amesema, tukio hilo ni sehemu ya maadhimisho kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, ambayo huadhimishwa...
05Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Meneja wa timu hiyo, Walter Harrison amesema kwa sasa wamesahau kila kitu, akili yao ipo katika mechi nne mfululizo ambazo watacheza kuanzia Ijumaa ijayo dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Majaliwa,...
05Mar 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mkurugenzi mpya aliyetangazwa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya FCS, Dk.Ally Laay ni Justice Rutenge ambaye pia amekuwa mshauri wa taasisi hiyo kwa miaka saba. Akimtangaza kiongozi huyo mpya mbele ya...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akikabidhi mashine hiyo juzi kwa niaba ya Rais, Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tabora, Aziza Sleyum alisema Rais Samia ametoa msaada huo kufutia adha walizokuwa wakikabiliana nazo hasa wakati...
05Mar 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Afua ya Mfumo Jumuishi hospitalini huko. Ni mradi unaofadhiliwa na Bill & Melinda...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema baada ya kufanyika kwa tathmini hiyo iwasilishwe taarifa hizo kwa wakuu wa mikoa ili ziweze kuchukuliwa hatua ya haraka.Alitoa agizo hilo leo mkoani Lindi kutokana na taarifa ya Mamlaka ya...
05Mar 2024
Nipashe
Eneo hilo la mashariki mwa Kongo linakabiliwa na mgogoro huku maelfu ya watu wakilazimika kukimbia ili kulinda usalama wao kutoka kwenye eneo hilo. Mapigano kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maporomoko hayo yalitokea Desemba 3 mwaka jana na kusababisha uhalibifu wa miundombinu, mali pamoja na maelfu ya wakazi wa mji wa Katesh kukosa sehemu ya kuishi. Msaada huo umetolewa juzi na...
05Mar 2024
Nebart Msokwa
Nipashe
Aidha, wananchi wametakiwa kuondokana na hofu ya kutembelea wafungwa magerezani kwa maelezo kuwa ni mahali salama ambapo mtu yeyote anaweza kutembelea na kuwasaidia wafungwa kwa kufuata taratibu...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-stika ambazo zimeongezwa kwa matakwa ya wamiliki au madereva.Akizungumza na Waandishi wa Habari Dar es salaam baada ya Kikao cha Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
05Mar 2024
Shaban Njia
Nipashe
-kwenye zahanati ya kata hiyo.Uchangishaji wa fedha hizo umefanywa na Mkurugenzi wa kituo cha Radio Gold Fm, Neema Mgheni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Hadija Kabojela, Mbunge wa jimbo la...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ushirikiano huo unalenga kuongeza wigo wa upatikanaji wa mashine za ATMs na kupunguza gharama za miamala ya ATM kwa wateja wa benki hizo, na watanzania kwa ujumla.Kupitia ushirikiano huo wa...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hali hiyo imesababisha wakazi 20,000 wa Kijiji cha Lusungo kukosa huduma mbalimbali za kijamii, huku wanafunzi 100 wa shule za sekondari wanaotoka katika kijiji hicho wakilazimika kukatisha masomo...
04Mar 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Mng'elesa amesema ahadi hiyo kwa Chapakazi ambacho kipo Bungu Wilaya ya Kibiti imetokana na namna kinavyofanya vizuri katika kazi zake tangu kuanzishwa Amesema Chapakazi ni kati ya...
04Mar 2024
Neema Hussein
Nipashe
Akizungumza na Walimu wa Shule za msingi na sekondari ambao ni Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika halmashauri hiyo Mbunge wa Jimbo la Mpanda Vijijini Selemani Kakoso amesema kuna haja ya...
04Mar 2024
Vitus Audax
Nipashe
...ikililenga kutoa elimu kuhusu ulinzi, malezi na makuzi bora kwa watoto wenye umri kuanzia miaka Sifuri hadi Minane (0-8), hususani katika nyanja ya utambuzi, uelewa kielimu, na afya.Akizungumza...
04Mar 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Ametoa wito huo leo mkoani Dar es Salaam katika hafla ya ugawaji wa vifaa saidizi kwaajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Sekondari Pungu, vikiwamo viti mwendo 160, kompyuta...
04Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ili kuepusha mvutano kujitokeza tena, wadau hao wameodhoresha mambo 13 wanayoona yanapaswa kufanyia kazi, ikiwamo kusitisha matumizi ya kitita kipya cha NHIF na kurudi kwenye kitita cha zamani.Wadau...
04Mar 2024
Rahma Suleiman
Nipashe
Abdullah ambaye ni Msemaji wa Familia ya Mzee Mwinyi katika msiba huo wa kitaifa wa kifo cha Mzee Mwinyi, pia aliwaambia waombolezaji kwenye Uwanja wa Amani, Unguja juzi kwamba baba yao hakuwahi...
04Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
.. ambazo zitaunganisha uchumi wa Kanda ya Ziwa na Nchi Jirani za Burundi, Uganda na Rwanda kwa kutumia Bandari ya Tanga.Ameyabainisha hayo alipofanya mahojiano na Waandishi wa Habari kuhusu...