NDANI YA NIPASHE LEO
01Mar 2024
Vitus Audax
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya familia hiyo kudai kuwa vipimo vya vinasaba vya mwili huo vinaendelea kucheleweshwa.Ombi hilo limetolewa baada ya miezi sita kupita tangu kukamatwa kwa mume wa marehemu,...
01Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mzee Rukhsa anasema katika kitabu chake kuwa alipowasili jijini humo, alifikia katika jengo la Afrika Mashariki (East Africa House), lililokuwa linamilikiwa kwa ubia na nchi za Kenya, Tanganyika,...
01Mar 2024
Restuta James
Nipashe
Kifo cha Mzee Mwinyi, maarufu Mzee Rukhsa, kimetangazwa ikiwa ni takriban wiki tatu tangu kutangazwa kifo cha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Februari 10, mwaka huu. Akilitangazia taifa msiba...
29Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya kupokea taarifa za ujenzi na upanizi wa uwanja huo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa barabara nchini TANROADS, Mhandisi Vedastus Maribe, ambao ndio wasimamizi wa...
29Feb 2024
Renatha Msungu
Nipashe
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonaz ametangaza mpango huo kwenye hafla ya utiaji saini mikataba ya upembuzi yakinifu wa meli hizo na ujenzi wa viwanda...
29Feb 2024
Restuta Damian
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Meneja wa Bonde la Ziwa Victoria Kanda ya Kagera, Revodius Bishanda wakati akizungumza na Nipashe juu ya athari za kimazingira zinazosababishwa na shughuli za kibinadamu...
29Feb 2024
Shaban Njia
Nipashe
Wachimbaji hao wadogo wanadaiwa kuvamia maeneo ya mgodi huo unaomilikiwa na mwekezaji wa kampuni ya Ganuck na kuanzisha shughuli za uchimbaji kwa maduara 21.Inadaiwa kuwabaada ya kugundulika...
29Feb 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Kiongozi huyo aliyasema hayo alipofunga semina ya siku tatu iliyokutanisha wahandisi kutoka maeneo mbalimbali ikiwamo wale wanaofadhiriwa na Serikali ya Norway kupitia mradi wa SEAP. Amesema...
29Feb 2024
Steven William
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Makamu Mwenyekiti wake, Rehema Omari, wakati akizungumza na wanachama wa UVCCM na wa CCM wilayani hapa Mkoa wa Tanga.Ni baada ya kufungua tawi la vijana wa UVCCM Mlimani...
29Feb 2024
Jaliwason Jasson
Nipashe
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Victor Kimario, amesema mahakama yake imemtia hatiani katika makosa mawili ya ubakaji.Hakimu Kimario amesema kuwa siku ya tukio...
29Feb 2024
Godfrey Mushi
Nipashe
Kutokana na changamoto hiyo, amesema serikali itazungumza na vyuo vikuu nchini, kuangalia uwezekano wa kufuta cheo hicho na kukirudisha kuwa chini ya Makamu Mkuu wa Chuo-Taaluma.“Wana frustrate...
29Feb 2024
Nipashe
Kura hiyo ya Baraza la Seneti inajiri baada ya Bunge la taifa kuidhinisha kwa kishindo muswada huo mwezi Januari. Muswada huo sasa utawasilishwa mbele ya kikao cha pamoja cha bunge ili uidhinishwe na...
29Feb 2024
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo ameyabainisha wakati akisikiliza kero za wananchi wa Kata ya Buswelu ili kuwasogezea huduma katika maeneo yao, ambapo amesema kuwa malalamiko ya sukari yamekuwa mengi na wafanyabiashara...
28Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Laeleza Tanzania ina Nafasi Kubwa kuwa Kitovu cha Madini Afrika
Akizungumza katika kikao hicho, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo alilieleza shirikisho hilo kuhusu dhumuni la ujumbe wa Tanzania kuwepo nchini humo na kusema ni pamoja na kushiriki...
28Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Aweso ameeleza hayo akiwa katika ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kwenye mkutano wa wanachi mji wa Utegi wilayani Rorya Mkoa wa Mara. Akifafanua...
28Feb 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
-Jwaneng Galaxy ya Botswana Jumamosi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, iliyopewa jina la 'Vita ya Kisasi.'Mechi itakayochezwa leo, awali ilipigwa kalenda kutokana na Simba kusafiri...
28Feb 2024
Saada Akida
Nipashe
Waifuata na msafara wa watu 60, asema ni kazi ngumu, lakini wamejipanga kwa...
-pamoja na ushindi dhidi ya Al Ahly.Wiki iliyopita Yanga ilikata tiketi hiyo baada ya kuifunga CR Belouizdad mabao 4-0, hivyo kuungana na Al Ahly ya Misri kuwa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali...
28Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro kwaniaba ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko.Alisema maofisa...
28Feb 2024
Elizabeth John
Nipashe
Kwa mujibu wa Ripoti ya Utafiti wa Afya, Malaria na Viashiria (Tanzania DHS-MIS 2022), inaonyesha wanawake walio kwenye ndoa na waliofikisha umri wa kuolewa (15-49) katika mikoa ya Njombe, Mbeya na...
28Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-Tsh. 145,000 kwa bei ya jumla.Gari moja lenye shehena ya sukari lilionekana wakati msafara wa Mkuu huyo wa Mkoa ukipita katikati ya mji wa Manyoni ambapo baada ya kuulizwa walidai wamenunua kwenye...