SAFU »

HABARI iliyokuwa gumzo kwa wanamichezo ukiacha kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara ni kuanzishwa kwa shindano maalum la ufunguzi wa ligi litakaloshirikisha timu zilizoshika nafai tatu za juu kwenye...

UFUGAJI wa kisasa unaweza kufungua milango ya ustawi kiuchumi kwa kuzalisha mazao yenye ubora kwa matumizi ya nyumbani na viwandani.

IWAPO serikali ilikomesha ufungashaji wa pombe kwenye mifuko ya nailoni almaarufu ‘kiroba’ ni wakati wa kubuni na kuibua mikakati mahsusi ya kukomesha ukatili wa kijinsia na kuwa historia.
SIASA za makundi ndani ya vyama bado zinaendelea kujitanua na kupata nafasi hasa miongoni mwa viongozi wakuu na nyakati za kugombea nyadhifa mbalimbali ndipo changamoto zinapoonekana zaidi.
UTAFITI wa hivi karibu unaofanywa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Chuo Kikuu cha Western Applied Sciences cha Norway, umegundua kuwa asilimia kubwa ya wasiojua kusoma wala kuandika wana...

NI ukweli usiopingika kuwa Simba ndiyo timu inayofanya vema zaidi kwenye michuano ya kimataifa hapa Tanzania, iwe Ligi ya Mabingwa au Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

LENGO namba moja la Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ni kutokomeza umaskini wa aina zote kwa kila mtu na kila mahali, ili kuongeza kipato cha watu waishio katika hali duni na kuwapatia...

UGONJWA sugu wa kushindwa kuhifadhi taka kabla hazijapelekwa dampo unaendelea kukosa tiba kwenye mikoa na miji mingi.
MAJIRANI na wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kenya, wamemaliza uchaguzi mkuu unaotajwa na vyombo vingi vya habari kuwa ni wa amani, utulivu na hali ya usalama.

HALI hii inayoonekana sasa kujitokeza, inaweza kuipeleka Tanzania kwenye nyakati mbaya zaidi kisoka, ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ilipopata Uhuru mwaka 1961.

KESHO ni maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, maarufu kama Nanenane ambayo hukusanya wadau kutoka maeneo mbalimbali kwenda kuonyesha kazi zao ambazo zinasaidia kuchechemua kilimo.
.jpg?itok=nfwjwDzv)
KARIBU tena msomaji wangu tuzidi kumulika jinsi maisha yalivyo kwenye familia zetu. Mwishoni mwa safu hii, nimekuwa nakaribisha maoni au visa vya kimaisha ili kujifunza mambo mbalimbali...

UKIANGALIA usajili uliofanywa na timu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu mpya, unakubali kuwa ligi hiyo itakuwa ngumu na yenye ushindani.





