SAFU »

UNAPOSAFIRI kwa ndege kwenda nje ya Dar es Salaam au unaporejea ni lazima mizigo yako ikaguliwe kwa kupitishwa kwenye mashine maalum iliyopo kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (...

HABARI kubwa kwa sasa nchini Tanzania ni usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano.
HIVI karibuni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alitoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula vyakula vyenye kuongeza madini aina ya folic ili kuongeza kinga ya...

NIMESIKIA kuwa baadhi ya wanawake huko Songwe wanadaiwa kuwa vinara wa kuwashawishi mabinti zao wasifanye vizuri kwenye mitihani ya shule, ili wasifaulu. Lengo kubwa hapo ni kwamba waozeshwe .

MAPIGANO kati ya wakulima na wafugaji, kwenye baadhi ya maeneo ni miongoni mwa migogoro inayoibuka mara kwa mara na licha ya kutafutiwa ufumbuzi bado inajitokeza.

SERIKALI imeajiri walimu 9,800, ambao sasa wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vipya vya kazi ili waanze kutekeleza majukumu yao ya kufunza na kufundisha watoto katika shule za msingi na sekondari....

MIAKA ya nyuma kulikuwa na makala na mijadala mingi ya watangazaji na wachambuzi kuzilaumu klabu hasa kubwa za Simba na Yanga, hasa pale wachezaji na makocha wao wa zamani wanapougua.

KESHO ndiyo mwisho kwa wadau wa mpira wa miguu nchini kutuma mapendekezo ya maboresho ya kanuni za msimu ujao wa mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini (TFF).

UKINUNUA ardhi kwa maana ya nyumba, kiwanja, au shamba hakikisha unafanya uhamisho wa miliki kutoka kwa aliyekuuzia na kusomeka kwa jina lako mara moja kadri iwezekanavyo, ili kujiepusha na mambo...

TANZANIA ilikuwa nyuma katika utoaji wa chanjo ya UVIKO-19, lakini sasa mwamko mkubwa umeongezeka kutoka asilimia 6.3 hadi kufikia asilimia 12.4 ya utoaji wa huduma hiyo kwa Watanzania.

NDANI ya vyama vya siasa kumekuwapo na mvutano unaochangiwa na sababu mbalimbali, ikiwamo kutofautiana hoja, mawazo, mitazamo na maoni miongoni mwa wanachama au na viongozi wao.

BAADHI ya maeneo yanayotajwa kunyanyasa wasichana (mabinti) chini ya miaka 18 ni sehemu zinapouzwa pombe.

ULIKUWA ni msimu wa kukumbukwa kwa wanachama na mashabiki wa Yanga. Wametwaa kila kitu. Ngao ya Jamii, Ubingwa wa Tanzania Bara na Kombe la FA.






