SAFU »

HII ni mara ya 28 kwa klabu ya Yanga kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara. Jumatano iliyopita, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo walipata furaha isiyo kifani baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa kwa...

NI majonzi na vilio kwa baadhi ya Watanzania waliojiunga kwenye programu maarufu ya mtandaoni iitwayo ‘Idea Debater’ kwa lengo la kuvuna fedha, badala yake wakajikuta wakitapeliwa fedha hizo kwa...

TANZANIA iko hatarini kukumbwa na wimbi la tano la ugonjwa wa UVIKO-19. Kutokana na hali hiyo, wananchi wanaaswa kuchukua tahadhari zote zinazoelekezwa na wataalamu wa afya, ikiwamo kupata chanjo...

MIRADI 52 ya maendeleo katika mikoa mbalimbali ilikataliwa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka jana, kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kujengwa chini ya kiwango.

KUMEKUWA na matukio mengi kwenye jamii mijini na vijijini yanayohusisha wanaume kufanya maamuzi kwa sababu ya kukaa na vitu moyoni.

BAADA ya kipigo cha nyumbani cha mabao 2-0 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, baadhi ya mashabiki wa soka nchini ni kama vile wameanza kukata tamaa na timu ya Taifa...

WAKATI akitangaza zawadi na bonasi ambazo timu za Ligi Kuu zitapata, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi alibainisha kuwa ligi ya Tanzania Bara inashika nafasi ya pili kwa kuwa na zawadi kubwa kwa...

NI kawaida kwa serikali zote duniani, kwamba huwa zinatafuta mbinu mpya za kugharimia kuziba mapengo ya ugharimiaji wa miundombinu yake, ili kuwezesha malengo ya maendeleo endelevu iliyo nayo....
MTU unapoperuzi kwenye mitandao ya kijamii au vituo vya habari nchini, kwa sasa si ajabu katika taarifa tano mbili au tatu, zikawa za ukatili wa kingono kwa watoto wadogo (wa kike na kiume).
INASIKITISHA na kuudhi kusikia na kuona taarifa za watoto wanaolawitiwa kwenye jamii yetu.

MARA baada ya Simba kushindwa kuutetea ubingwa wake na kufungwa na Yanga kwenye mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA, kumezuka sintofahamu kutoka kwa waliokuwa viongozi wa zamani wa klabu hiyo....

SHERIA ya Mazingira imelipa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) meno ya kudhibiti wanaoivunja. Licha ya nguvu hizo bado tunawasikia wakizungumza na vyombo vya habari...

TAYARI Bodi ya Ligi imeanza mchakato wa kupokea maoni ya kuboresha kanuni za Ligi Kuu kwa ajili ya msimu ujao.






