SAFU »

14May 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HATIMAYE Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania kimepata viongozi wake watakaokiongoza kwa kipindi cha muhula mwingine, baada ya kupita miaka mingi bila ya kuwa na viongozi.

12May 2022
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BEI ya mafuta kwa sasa ipo juu na sasa imeongeza gharama kwa wananchi kwa kuongezeka kasi ya ugumu wa maisha, kwa kiwango kikubwa kutokana na bei za bidhaa au kwa lugha rahisi mfumuko wa bei.

10May 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAPILI Mei 8, ilikuwa siku tulivu kwa wanawake ambayo imepewa jina la Siku ya Mama –Mama’s day. Ulikuwa ni wasaa mwingine wa kuwapa kinamama mahaba, pongezi, kuwazawadia, kuwashika mikono na...

09May 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MJADALA umeendelea kuwa mkali sana kwenye vituo vya redio, televisheni, mitaani, hasa kwenye vijiwe vya kunywa kahawa, mipira, vituo vya wauza magazeti, mabasi, ndani ya daladala na kwenye...

06May 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UMETIMU msimu wa mvua na sasa unaendelea katika baadhi ya mikoa nchini. Nianze kusema ni neema kwa wakulima na sote, maana chakula ni muhimu kwa kila mmoja wetu, wakati huohuo mvua ina umuhimu...

05May 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kupambana na vifo vya wajawazito, serikali imechukua hatua mbalimbali, zikiwamo kuanzisha kampeni maalum ya ‘Jiongeze Tuwavushe Salama’ iliyoanzishwa na aliyekuwa Makamu wa Rais na sasa,...

04May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RAIS Samia Suluhu Hassan, anahitimisha kilele cha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani kwa Afrika, akiwaonya waandishi wa Afrika, kujitazama kwani wanairipoti vibaya Afrika kama vile ambavyo...

03May 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LEO ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo  huadhimishwa Mei 3 ya kila mwaka kwa lengo la kukuza uelewa wa umuhimu wa uhuru wa tasnia ya habari.

02May 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILIKUWA ni kawaida miaka kadhaa nyuma kusikia majina ya wachezaji wa Kitanzania yakitajwa mara baada ya mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga kumalizika.

30Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DUNIA ya sasa ya soka kumekuwa na watu wanaoitwa wachambuzi ambao kwa kiasi kikubwa wameufanya mchezo huo kuendelea kupendwa na mashabiki mbalimbali.

29Apr 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la usafi lina maana kubwa na inatakiwa jamii ielewe nini mantiki yake kwa undani na uelewa wa kina.

28Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZIMEBAKI siku chache sana, waumini wa dini ya Kiislam nchini Tanzania, waungane wa wenzao dunia nzima kuadhimisha Sikukuu ya Idd El Fitri, ikiwa ni maadhimisho ya kumaliza mfungo mtukufu wa...

27Apr 2022
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUBILII ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imekamilika. Ni hatua inayoashiria kuelekea kwenye miaka na miongo mingi zaidi.

Pages