SAFU »

26Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LEO ni kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika mwaka 1964, ambao ulizaa taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

25Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAYARI Watanzania wote wanajua kuwa timu yao ya Taifa, Taifa Stars imepangwa Kundi F kuelekea kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), zitakazofanyika mwakani nchini Ivory Coast.

24Apr 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

FILAMU ya Royal Tour iliyochezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa kama mwomgoza watalii akimwongoza Mwandishi Peter Greenberg, ambaye alitembezwa na kuelezwa kwa kina kuhusu vivutio vilivyopo...

23Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI wiki ambayo Watanzania walishuhudia Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), ikipangwa kwenye Kundi F kuelekea kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazotarajiwa kuchezwa mwakani...

22Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI na wamachinga wamekutana katika kikao cha pamoja kwa lengo la kuweka mikakati mbalimbali ya kuboresha shughuli zao, ili hatimaye watoke kwenye umachinga wawe na biashara kubwa.

21Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTOKANA na vita inayoendelea kati ya Russia dhidi ya Ukraine, bei ya mafuta imeshaanza kupanda si Tanzania bali duniani kote.

20Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kuharakisha maendeleo, serikali imekuwa ikitafuta fedha hata za mikopo na nyingine za walipa kodi ili kufikia lengo hilo, kwa kujenga na kuboresha miradi mbalimbali ikiwamo midogo na...

18Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AGOSTI 23 mwaka huu itakuwa ni siku ya Sensa ya Watu na Makazi nchini, ambayo msingi wake ni serikali kupata takwimu za idadi ya Watanzania, ili ziisaidie kupanga mipango ya maendeleo kwa ajili ya...

18Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILIKUWA ni dakika ya 18, kipa wa Manchester City, Zack Steffen alipokuwa na mpira mguuni, akiwa hana hili wala lile. Alidhani wachezaji wote 21 waliokuwa mbele yake wanamsubiri apige mpira mbele...

16Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIMEKUWA nikisoma sehemu mbalimbali kuwa Ligi ya Tanzania Bara ni ya nane kwa ubora Afrika. Inawezekana ikawa ni kweli, lakini kwangu mimi ambaye nimeshawahi kuiona ligi ya Tanzania miaka ya 1980...

14Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIKOA ya Kilimanjaro, Iringa na Njombe, imetajwa kuwa vinara wa kampeni ya miaka mitano ya uhamasishaji vyoo bora na kuvitumia, yenye jina la 'Usichukulie Poa Nyumba ni Choo' iliohitimishwa...

13Apr 2022
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LEO Aprili 13, Watanzania tunaadhimisha miaka 100 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa, Rais wa Kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

11Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA mara ya kwanza kwenye historia ya soka la Tanzania, teknolojia ya kumsaidia mwamuzi (VAR) itatumika nchini kwenye mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba itakapoivaa...

Pages