SAFU »

09Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWENYE mechi mbili za hivi karibuni ambazo Simba imecheza dhidi ya US Gendarmerie ambayo ilikuwa ni ya Kombe la Shirikisho, pamoja na ile ya Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union imeonyesha kuwa timu...

08Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA imeendelea na utaratibu wake wa kukabiliana na UVIKO-19 kwa kutofungia ndani wananchi bali wanaendelea na shughuli za kiuchumi huku wakizingatia mwongozo wa kujikinga na ugonjwa huo.

07Apr 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Jopo la Kimataifa la kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), limetoa ripoti mpya ambayo kwa mara nyingine tena, inasisitiza dharura ya kupunguza haraka na kwa  kina gesi joto (...

06Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ALIPOKUWA mtumishi wa serikali ya Tanzania, utendaji wake wa kazi ulisadifu kwa dhati fadhila na tunu msingi za maisha ya utu.

05Apr 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWEZI Machi umeisha ikiwa umeangamiza roho za baadhi ya watu kutokana na ajali za barabarani zilizotokea ndani ya mwezi huo, katika mikoa mbalimbali ikiwamo Morogoro, Simiyu, Tanga na Pwani.

04Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KLABU kongwe nchini Simba na Yanga ndizo timu zenye majeruhi wengi sana kwenye vikosi vyao mpaka sasa. Kwa namna moja ama nyingine zimekuwa vikiathiri pia mwenendo wa timu zao kwenye Ligi Kuu na...

03Apr 2022
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

​​​​​​​KARIBU tena msomaji wangu katika safu yetu hii ya Maisha Ndivyo Yalivyo. Wiki iliyopita nilieleza kwamba huwezi kufanikiwa kwa kufanya kila kitu mwenyewe.

03Apr 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

​​​​​​​RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2020/21 iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonyesha namna gani kuna ‘upigaji’ mwingi wa fedha za umma...

02Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI kama vile mpaka sasa Coastal Union ya jijini Tanga ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara bado haijajua tatizo linaloikabili na kuifanya timu hiyo isifanye vizuri.

01Apr 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SASA nadhani kila mmoja anatakiwa arudi na kufanya kazi yake kwa bidii, badala ya kuendelea kulalamika juu ya kupanda kwa mafuta na baadhi ya vitu nchini.

30Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWANZA kabisa nitoe salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa msomi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe na mchambuzi wa makala mbalimbali za uchumi kwenye vyombo vya habari, Profesa Honest Ngowi...

29Mar 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RUSHWA ya ngono imekuwa ikitajwa kushamiri katika shule za msingi, sekondari na vyuo, ikichangia kukwamisha baadhi ya wanafunzi wa kike kutimiza ndoto zao katika elimu wanaponaswa na rushwa hiyo...

28Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UMEKUWA sasa ni kama ugonjwa au utamaduni kwa baadhi ya mashabiki wa soka, viongozi na hata makocha kuwatisha wachezaji wa Kitanzania kutoka timu zinazoitwa au kujiita ndogo kujiunga na Klabu za...

Pages