SAFU »

NAKUMBUKA miaka mingi nyuma, mzee mmoja ambaye nina undugu naye, mkazi wa Tabata alimwita kijana wake na kumpa eneo la uwanja nyuma ya nyumba yake na kumtaka ajenge.
DUNIA pamoja na nchi moja au nyingine kuwa na tofauti za umbali wa maelfu ya maili na kijiografia, hilo halimaanishi hatutegemeani.

KWA miaka ya hivi karibuni, kumekuwapo na taarifa nyingi za matukio ambayo wananchi wakipata matatizo, kimbilio pekee inakuwa ‘Rais tusaidie.’
KUANZIA jana dunia inatazama kazi nyingi za wanawake. Kuelekea kilele cha Siku ya Kinamama Duniani Machi 8.
JUMA lililopita, niliandika makala kwenye Nipashe iliyokuwa na ujumbe “Kamati ulinzi mwanamke, mtoto ziingie kazini kustawisha jamii”.

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeanza, huku kila timu ikitarajiwa kucheza mechi 15 zingine ili kumalizika mechi 30 za msimu wa 2021/22.

MARA baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Jumatano iliyopita kwa mechi kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani...

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ilitoa utabiri kwamba kuna mvua kubwa za masika yaliyopitiliza, yanagonga hodi wakati wowote kwenye maeneo yetu, hivyo wananchi tujihadhari.
NIDHAMU ni kitu muhimu sana katika maisha. Nimegundua kuwa na nidhamu kunafungua njia ya mafanikio kila mahali, iwe kazini unauweza kujikuta unaangukia nafasi ya mfanyakazi bora, pia kwenye...

HALMASHAURI zinatenga asilimia10 ya mapato ya ndani, kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanawake, vijana na wanaoishi na ulemavu.

SUALA la kuwapo ama kuondolewa adhabu ya viboko shuleni ni mjadala miongoni mwa wadau, unaowagawa watu katika makundi ya wanaunga mkono na wanaopinga adhabu hiyo.

UKIACHANA na Kombe la FA ambapo timu zinabugizwa mabao sita mpaka saba, bado idadi ya mabao kwenye mechi nyingi za Ligi Kuu haziridhishi.

MJADALA wa waamuzi nchini umeendelea kuwa mkali, na sasa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, naye akiibuka na kulizungumzia hilo.






