SAFU »

27Mar 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Kisima cha ukweli

​​​​​​​WIKI hii Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, alijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza kuwa anataka kuoa binti mdogo na mweupe.

27Mar 2022
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Makala ya Jamii

​​​​​​​NAFIKIRIA zamani zile tunakua, sikumbuki kuwapo shida sana hususan kwetu watoto kwani tuliishi na wazazi wetu vizuri bila kutambua kuwapo adha za hapa na pale na changamoto kwa familia.

26Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAANZA kwa kuipongeza timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kwa ushindi wa mabao 3-1 ilioupata kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Afrika ya Kati.

25Mar 2022
Anthony Gervas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya madereva, kondakta wa daladala za mabasi madogo jijini Mwanza, mnaofanya safari njia ndefu kwanini mmegeuka kero kubwa kwa abiria, mnakatisha ‘ruti’ za safari kabla ya gari kuwafikisha...

23Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIO cha watu wengi kimesikika, baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuagiza kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau kuhusu muundo wa tume huru ya uchaguzi.

22Mar 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MGAWO wa fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya jamii na mapambano ya Uviko-19 zimetumika pia kujenga madarasa katika shule mbalimbali nchini na kupunguza uhaba wa madarasa uliokuwapo kwa...

19Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza kutoa fomu za leseni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Ligi ya Championship (zamani Ligi Daraja la Kwanza) na First League (Ligi...

15Mar 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SASA ni wazi kwamba tatizo la muda mrefu la wanafunzi wa kidato cha kwanza kutoanza muhula wa masomo kwa pamoja kutokana na uhaba wa madaraka limepatiwa ufumbuzi.

14Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA wawakilishi pekee wa michuano ya kimataifa nchini, Simba, walishuka Uwanja wa Benjamini Mkapa kuikaribisha RS Berkane ya Morocco kwenye mechi ya Kundi D ya Kombe la Shirikisho Afrika.

12Mar 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni nilimsikia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kusikitishwa na wingi wa majeruhi katika kikosi chake, huku akiwataka waamuzi waochezesha Ligi Kuu Tanzania Bara kulinda...

11Mar 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI juzi tu ilikuwa Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani, kwa maana ya kilele siku ya Machi 8 ya kila mwaka, huwa kunafanyika maadhimisho hayo.

10Mar 2022
Anthony Gervas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SEKTA ya uvuvi ni muhimu katika ustawi wa jamii, lakini ni ‘pasua kichwa’ kwa serikali, kutokana na kuwapo uvuvi haramu unaofanyika kila mara, kwa kutumia zana zilizozuiliwa na sheria.

08Mar 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LENGO namba nne la Kimataifa la Maendeleo Endelevu (SDGs), linagusia usawa wa kielimu, likitaka kuwapo kwa fursa sawa kwa makundi yote kuipata haki hiyo.

Pages