SAFU »

02Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKATI ya mwezi uliopita niliandika kwenye safu hii kulitaka Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kupitia Bodi ya Ligi kuanza ligi  ya msimu ujao mapema.

01Jul 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MCHANGANUO wa idadi ya watu waliothibitika kuambukizwa ugonjwa wa UVIKO-19, unaonyesha kuwa mkoa wa Dar es Salaam ni kinara kwa kuwa na watu wenye ugonjwa huo kuliko mikoa mingine nchini.

30Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATAALAMU wa lugha ya Kiswahili, wanautaja msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu, kutokana na shida, tabu, dhiki au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku, hasa pale...

29Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji yenye makazi ya walalahoi likiwamo la Uwanja wa Fisi, sehemu yenye watu wengi wenye maisha duni, wakila vyakula kama ngozi za wanyama na bidhaa zilizoisha muda...

28Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIZI majumbani, kupora watu njiani, utapeli unaofanywa usiku na mchana kutumia simu na kwa ujumla kukosekana usalama ni masuala yanayolalamikiwa na wakazi wengi jijini Dar es Salaam.

27Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKIMWONA kwa sasa akiwa golini na jinsi anavyofanya kazi yake kwa ustadi unaweza ukadhani kwamba Simba na ina golikipa mpya.

26Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

​​​​​​​UNAPOSAFIRI kwa basi kwenda mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa, lazima utapita mkoani Morogoro na kwa wanaotumia magari ya alfajiri kwenda Songea, Njombe, Mbeya...

25Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI majuzi Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) imeishushia rungu klabu ya Biashara United kusajili mchezaji yoyote mpya kwa madirisha mawili.

24Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUMESHUHUDIA ajali ya treni juzi, taarifa zikisema watu wanne na wengine zaidi ya 132 wamejeruhiwa.

23Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wanafunzi wenye ulemavu kila mara hukumbana na vikwazo kadhaa katika kufikia malengo yao waliyojiwekea kupitia elimu, hali ambayo wakati mwingine inaweza kuwakatisha tamaa.

22Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CCM inaendelea na uchaguzi wa viongozi wa chama hicho na jumuiya zake za Umoja wa Wanawake UWT na Umoja wa Vijana -UVCCM ngazi ya kata baada ya kumaliza ule wa mashina na matawi ulioanza Aprili...

20Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA misimu kadhaa sasa kila ukija wakati wa dirisha la usajili wa wachezaji, neema inaangukia zaidi kwa wachezaji kutoka nje ya nchi na si wazawa.

19Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

​​​​​​​BAJETI pendekezwa ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 imeshawasilishwa bungeni na sasa wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi, wanaichambua na kushauri mambo mbalimbali ambayo...

Pages