SAFU »

05Aug 2022
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI maadhimisho ya Siku ya Wakulima au Nanenane ambayo yanafikia kilele chake kila mwaka Agosti 8. Pamoja na maonyesho na mauzo ya bidhaa mbalimbali za wakulima, kujitangaza na kutandaa (networking...

04Aug 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWEZI Agosti unapoanza unakuja na ujumbe mahususi kwa jamii, wanawake, wanaume na vijana wanakumbushwa umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto.

03Aug 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA mara nyingine Rais Samia Suluhu ameteua na kuapisha wasaidizi wake kwa ajili ya kuiongoza mikoa, akiwaondoa baadhi yao na wengine kuhamishwa na pia wamo waliobakizwa katika vituo vyao vya kazi...

02Aug 2022
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

VIONGOZI wa serikali kuanzia ngazi za mitaa, vijiji, wilaya, mkoa hadi taifa wakati umefika kuhamasisha na kusimamia jamii kufuata sheria za misitu zilizoko wanapoandaa mashamba ili kuepuka...

01Aug 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MSIMU uliopita Simba ilipoteza kila kitu, kuanzia ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la FA, lakini ilitolewa kwenye raundi ya kwanza tu ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

30Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUU ni wakati wa usajili ambapo klabu mbalimbali za Ligi Kuu zinasaka wachezaji kwa ajili ya kuwafanyia kazi kwa msimu ujao.

28Jul 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MLIPUKO wa ugonjwa wa mgunda ambao sasa umekuwa ni mjadala miongoni mwa Watanzania baada ya kuibuka wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi na kudaiwa kusababisha vifo vya wale waliokumbwa nao.

27Jul 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BODABODA ni ujasiriamali unaowaondoa vijana wengi wanaoishi mijini na miji midogo Kwenye uzururaji, maisha vijiweni na aina zote za uhalifu.

23Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juzi ilitangaza kumhukumu Msemaji wa Yanga, Haji Manara kifungo cha miaka miwili kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi, pamoja na kulipa...

21Jul 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUZINGATIA suala la usafi wa mazingira ni moja ya namna kuiwezesha jamii kuepuka kupata magonjwa kama ya malaria na yale ya milipuko, vilevile kunusurika na magonjwa hayo, jamii inatakiwa kuweka...

20Jul 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kurejeshwa nchini mwaka 1992, baadhi ya wanasiasa wenye nia ya mageuzi ya kisiasa, walijitokeza haraka na kuanzisha vyama hivyo kwa wingi.

19Jul 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UWAPO wa kambi za kitaaluma umechangia wanafunzi katika maendeleo ya elimu kwa kuwawezesha kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuwapa uhakika wa kusonga mbele kielimu.

18Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KABLA hata ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23 hapo Agosti 17, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imevipiga ‘stop’ viwanja saba vilivyokuwa vinatumika kwenye ligi msimu uliopita hadi...

Pages