SAFU »

ELIMU bora ni msingi mkuu wa maendeleo, kwani bila kujua kusoma, kuandika na kuhesabu pamoja na ufahamu wa mazingira yanayomzunguka mwanadamu, inakuwa vigumu kuanzia familia hadi taifa kusonga...

SAFARI ya Tanzania kusaka tiketi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji Wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN), ilimalizika juzi kwenye Uwanja wa St Mary Chitende kwa kuchapwa mabao 3-0...

MOJA kati ya usajili bora kufanywa na Simba Queens msimu huu ni wa kiungo mkabaji kutoka nchini Kenya, Vivian Corazone, ambaye alikuwa akiichezea Gaspo Youth FC.
MWEZI uliopita serikali jijini Mwanza, ilifungua mradi wa stendi kuu mpya ya mabasi yaendayo mikoani 'Nyamhongolo'.Awali hiyo ilikuwa Buzuruga.

NAAM! Ni rasmi kampeni ya siku nne ya kutoa chanjo ya matone kwa ajili ya kudhibiti ugonjwa wa polio kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano, katika mikoa yote nchini.

SASA ni zaidi ya miezi tisa tangu Chama cha CUF kiingie kwenye mgogoro wa kiuongozi uliosababisha baadhi ya makada wake kuvuliwa uanachama na baadhi yao kukimbilia ofisi ya Msajili wa Vyama Vya...

HILI halivumiliki. Ndivyo unavyoweza kusema, ukirejea tukio la wananchi wanaojidai wana hasira kali pamoja na baadhi ya wanafamilia huko mkoani Ruvuma kumwadhibu hukumu ya kifo Mzee John Komba (78...

TANGU kuanza kwa Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23, mwaka huu, kumekuwa na taarifa nyingi ambazo zinaacha somo kubwa kwa Watanzania hasa watendaji wa serikali.

KWA mara ya kwanza kwenye historia ya soka nchini, timu kutoka Tanzania Simba Queens inacheza fainali ya Kombe la Afrika Mashariki na Kati kwa soka la wanawake, CECAFA, ikisaka tiketi pia ya...
PAZIA la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 limefunguliwa na sasa Watanzania wana siku saba za kujibu maswali ya sensa kwa ufasaha ili kufanikisha kupatikana taarifa zitakazotumiwa kupanga...

USAWA wa kijinsia unalenga kuhakikisha uwepo wa haki za binadamu kwa wanawake na wanaume ili washiriki kikamilifu kwenye maendeleo ya taifa lao.

KUJUA idadi ya watu, viwango vya elimu na mahitaji yao kielimu ni msingi wa kufikisha huduma bora za elimu kwa kila mwananchi. Leo ikiwa ni Siku ya Sensa ya Watu na Makazi, ni muhimu kwenye elimu...

RAUNDI ya kwanza tu ya Ligi Kuu Tanzania Bara, tayari wadau wa soka wameanza kupiga kelele kwa waamuzi kutokana na uchezaji mbaya wa baadhi ya wachezaji kwa wenzao.





