SAFU »

IFIKIE hatua wazazi wawe jeshi kubwa linalosaidiana na polisi nchini kukabiliana na tatizo la uhalifu unaofanywa na watoto wetu. Tuwe katika nafasi ya kuweza kukabiliana na hata kuondoa tatizo la...
NI habari njema zinazowafurahisha raia wa taifa hili kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali za kutosha kuanzia wanyama na mimea ardhini hadi viumbe wa majini waishio baharini, ziwani na...

LICHA ya ajenda ya 50/50 au kuwa na uwiano wa kiusawa baina ya wanawake na wanaume kwenye masuala yanayohusu maendeleo ya taifa hata yasiyokuwa ya kisiasa kama udahili unaolingana wa wanafunzi...

AKIZUNGUMZA na Kamati ya Waamuzi jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi (TPLB), Almasi Kasongo, alisema baadhi ya waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu...

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Yanga leo usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini, ...

WAKATI tulikuwa masomoni katika umri mdogo tulifunzwa mengi kuhusu afya ya binadamu. Eneo mojawapo ambalo tulikaririshwa na kueleweshwa ni kuhusu mlo na aina ya vyakula kwamba vipo vya aina tatu;...

NI muhimu elimu iendelee kutolewa kwa jamii, ili iweze kujikinga wasipate ugonjwa wa saratani, ambao huko wazi inaonekana ni tatizo kwa jamii, hata kuchangia vifo kwa watu wengi.
KWENYE uwanja wa habari zipo taarifa za madai ya kuhojiwa kwa Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma(PSSSF), akihusishwa na matumizi mabaya ya...

MOJA ya mikakati ya serikali katika elimu ni kufikisha kila wilaya Chuo cha Elimu ya Ufundi Stadi (VETA), ili vijana kuanzia shule ya msingi hadi wanaohitimu vyuoni wanapomaliza masomo wavitumie...

KWENYE mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya KMC, wanachama na mashabiki wa Simba walichachamaa na kucharuka, wakitaka Kocha Msaidizi Selemani Matola ajiuzulu kwa madai kuwa hawana imani naye...

NI juzi tu hapa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, alitaja baadhi tu ya mabadiliko yanayopaswa kwa ajili ya kuijenga upya Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), ...

TIBA asili ni hali ya kutumia mitishamba isiyokuwa na dawa kemikali na wakati huohuo, ni chakula cha kujenga mwili na viini vyake.

BUNGE la Tanzania, limekuwapo tangu uhuru, wabunge pia wameendelea kuchaguliwa tangu hapo na wamewawakilisha wananchi kwa vipindi tofauti na kwa idadi inayobadilika hasa wakiongezeka kutegemea...





