SAFU »

ILIKUWA mwaka 1979, Simba ikiwa inaiwakilisha nchi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati huo ikiitwa Klabu Bingwa Afrika.
.jpg?itok=nfwjwDzv)
KARIBU tena msomaji wangu tuendelee na simulizi ya dada aliyemdharau mamaye, kisa amefanikiwa. Alisahau mahangaiko ya mama yake hata kufikia cheo cha udaktari. Je, ataishia maisha ya aina gani?....

TIMU tatu zinazoiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya kimataifa zitaanza leo kampeni ya kuzitetea nafasi za kupeleka timu nne katika mashindano yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (...

CCM inaendelea na uchaguzi wa viongozi ambao sasa umeingia ngazi ya wilaya huku baadhi ya vigogo waliokuwa wenyeviti wa chama wa wilaya wakiangushwa.

NYAKATI hizi Watanzania wameshuhudia matukio mbalimbali ya ukatili wa kila aina ukiwamo wa kijinsia, kutoka mikoa karibu yote, ambayo huenda chanzo cha haya yote chaweza kuwa ukosefu wa maadili...

MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ameanzisha mjadala wa kwa nini mashabiki wengi wa Dar es Salaam kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa hawaendi viwanjani.

UTANI wa jadi kwa klabu za Simba na Yanga uliisha siku nyingi sana, kwa sasa uliokuwepo ni uhasama tu.

MFUMUKO wa bei za vyakula, ni moja ya mambo ambayo yamekuwa ni gumzo kwa Watanzania, baada ya kushuhudia unga wa mahindi, mchele, maharage na vitu vingine vikizidi kupanda bei kila uchao.

HONGERA Taasisi ya Wanawake Katika Jitihada za Kimaendeleo (WAJIKI), kwa kuzindua tena awamu ya tano ya kampeni itwayo ‘Safari Salama Bila Rushwa ya Ngono Inawezekana’,...
MAOFISA elimu kuanzia ngazi ya kata hadi mkoa jijini Dar es Salaam, badala ya kutembelea na kukagua shule pekee, kuanzia sasa wataingia darasani kufundisha masomo waliyobobea iwe sayansi, sanaa ...

MITANDAO ya kijamii ikitumika vizuri inaweza ikawa fursa na maendeleo badala ya kugeuzwa kuwa chaka la uovu kama ilivyoanza kuonekana.

MJADALA uliopo kwa sasa mitaani na katika mitandao mbalimbali ya kijamii ni juu ya baadhi ya waamuzi kuboronga kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.

SERIKALI imekuwa ikitenga fedha kupitia mapato ndani ya halmashauri nchini, kwa ajili ya mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, ili zitumike katika biashara mbalimbali...





