NDANI YA NIPASHE LEO

Meneja Bidhaa wa Benki Ya Exim Tanzania, Aloyse Maro katikati.

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kwenye uzinduzi maalum wa huduma hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Bidhaa wa benki hiyo, Aloyse Maro, aliyataja baadhi ya mahitaji hayo ya kijamii kuwa ni...

Christian Bella

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kama ilivyo kawaida yake muimbaji huyo wa dansi ya kuwashirikisha wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya, safari hii ameshirikiana na Joh Makini na G Nako wa Kundi la Weusi kutoka jijini Arusha...

Jeniffer Mgendi

15Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Alisema kama ilivyo kwenye nyimbo zake za Injili ndivyo anavyofanya pia filamu kwa kuwa anaamini kwamba kama Mtanzania huo ndio mchango wake kwa taifa lake. "Nimeamua kushiriki kutengeneza filamu...

RAPA wa Hip Hop Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'

15Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Katika mahojiano na kituo cha radio cha East Africa, Mwana FA alisema kuwa wasanii wanataka kufanya vitu ambavyo hawana uhakika navyo hata kama vinaingiza fedha nyingi. "Muziki umebadilika sana,...

AMINI NA LINAH

15Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Miongoni mwa wale ambao wanadaiwa kushindwa kufanya kazi ya muziki kikamilifu ni msanii Marlow ambaye baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake Besta amekuwa hasikiki kama zamani. Hata hivyo, suala...
15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni mechi inayogusa hisia wa Tanzania wengi ndani na nje kutokana na sababu za kihistoria. Klabu hizi ndizo zenye wanachama, mashabiki na wafuasi wengi kuliko zingine. Inasadikiwa kuwa kila timu...
15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imesababisha uongozi wa kata ya Ipinda kutaka kuifuga kwa muda usiojulikana. Walimu na wanafunzi hupata adha pindi wapatapo shida ya kujisaidia kwa kuwa wengi hutembea umbali mrefu...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Singida, Faith Ihano, alisema wahamiaji haramu hao walikamatwa Jumaa iliyopita, saa 12:00 jioni wakiwa wamefichwa ndani ya nyumba moja. Ihano alifafanua kuwa wahamiaji hao...

MWENYEKITI WA ZEC, JECHA SALUM JECHA

15Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Vyama vilivyochukua uamuzi huo ni Chauma, DP, Demokrasia Makini, SAU, Jahazi Asilia, NRA, UPDP na UMD. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Chauma...

Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu

15Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Katibu wa Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), Meshack Bandawe, alisema mkutano huo wa siku mbili, utafanyika Februari 18 na 19,...

MKURUGENZI MKUU WA PPF, WILLIAM ERIO

15Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akifunga mkutano wa 25 wa mwaka wa wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Mhagama alisema pamoja na uwekezaji mkubwa wa vitega uchumi ambao mifuko hiyo imekuwa...

WACHEZAJI WA JKT RUVU

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Umewahi kusikia hii? JKT Ruvu haijawahi kufunga Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara kwa miaka mitano sasa. Mara ya mwisho maafande hao waliwazima Jangwani mwaka 2011. Yanga imekuwa ikijipigia JKT...

WACHEZAJI WA STEDI UNITED

15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Unajua kinachozikuta timu za Mtibwa na Stand United katika mechi zao tatu sasa? Ni kutomalizika mechi zao kutokana na mvua kunyesha, hivyo kulazimika kuendelea kwa dakika zilizobaki siku inayofuata...

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila

15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kila mchezaji amepata gari aina ya Toyota Prado, lenye thamani zaidi ya milioni 120, pamoja na medali. Katika mchezo wa fainali DRC iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mali. Hii ni mara ya...

Haruna Niyonzima.

15Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Hata hivyo, baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya kiungo huyo wa timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi' na uongozi wa Yanga, hatimaye amerudishwa kundini. Mchezo wa kwanza wa Niyonzima baada ya mambo...
15Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Matokeo ya mechi hizo yana shaka kubwa, siyo kwa sababu timu hazina uwezo wa kufungana mabao mengi kiasi hicho, lakini tunaposimama kwenye mstari wa kweli, tunaamini kulikuwa na mipango ya makusudi...

WACHEZAJI WA SIMBA

15Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
...Timu hizo zinakutana huku Simba ikiwa na pointi 45 wakati Yanga wenye mchezo mmoja pungufu wakiwa na pointi 43
Wapinzani wao, Simba baada ya kung'ata mara sita mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, wamekwenda kupiga kambi ya siri 'Mji Kasoro Bahari' akitokea Shinyanga. Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1...

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, katika taarifa yake Manchester imesema itachezesha wachezaji veterani na siyo wanaotumika kwenye mechi za Ligi Kuu. "Kama ambavyo wengine wamesema kwamba siyo vizuri kwa sisi kucheza...

MAKOCHA

15Feb 2016
Nipashe
Mafunzo hayo yanatarajiwa kuhusicha makocha makocha 40 na yana lengo la kuwaongezea ujuzi walimu hao ili kwenda sambamba na sheria za mchezo huo zilizobadilika. Katibu wa Chama cha Kuogelea...

WACHEZAJI TIMU YA MAFUNZO

15Feb 2016
Nipashe
Morocco alisema hayo juzi baada ya mechi hiyo kumalizika kwenye Uwanja wa Amaan na kutaja sababu nyingine ya kupoteza mchezo huo ni wachezaji wake kukosa uzoefu wa mechi za kimataifa. Kocha huyo...

Pages