NDANI YA NIPASHE LEO

BUNGE

11Feb 2016
Nipashe
Akizungumza baada ya kikao cha mafunzo ya kamati hiyo na Msajili wa Hazina jana, Mwenyekiti wa PIC, Richard Ndassa, alisema, kamati yake ina majukumu ya kusimamia mashirika ya umma ambayo yako zaidi...

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

11Feb 2016
George Tarimo
Nipashe
Mbali na watu hao kulazwa, inaripotiwa kuwa mtu mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa huo, ambao uliingia mkoani Iringa Februari sita, mwaka huu, katika kijiji cha Mbolimboli, Pawaga wilayani...

Wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Tegeta A, Goba jijini Dar es Salaam wakifundishwa chini ya mti kutokana na uhaba wa madarasa.

11Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Hata hivyo, juhudi za wazazi ndizo zilizofanikisha kuwapo kwa choo hicho cha mapipa baada ya kujitolea kuchimbia mapipa manne chini ya ardhi ili kuwasaidia watoto wao wapate sehemu ya kujisaidia...
11Feb 2016
Nipashe
Kwa nini? Inaelezwa kuwa, mmea huo unaotumiwa katika namna ya kutafuna (kama vile bazoka) umekuwa ukitumiwa kwa kipindi kirefu cha maisha ya mwanadamu, ikiwa na kemikali zinazolevya akili ya mtumiaji...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula.

11Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula, alisema wafanyabiasha mkoani humo wamekuwa wakiwashinikiza wakulima kuwauzia mazao kwa ujazo wa rumbesa lakini wao wanapowauzia wateja wao hawapimi rumbesa....
11Feb 2016
Nipashe
Taarifa za tukio hilo zinaeleza kuwa mwathirika huyo aliokolewa na wasamaria wema baada ya kupiga kelele kuomba msaada kutoka kwa watu waliokuwa karibu. Akizugumza kwa taabu baada ya...

Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salum Jecha.

11Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini hapa jana, Kombo alisema ameamua kuchukua uamuzi huo kutokana na viongozi wa juu wa Chama Tanzania bara kushindwa kuheshimu uamuzi wa viongozi wa Zanzibar wa kususia...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe.

11Feb 2016
Nipashe
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe, alisema Watanzania hao wanaofanya biashara ya dhahabu, walivamiwa wakiwa katika vibanda vyao vya kubadilishia...

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

11Feb 2016
Nipashe
Aliyasema hayo wakati akizungumza katika kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar iliyofanyika viwanja vya Victoria Gaden, mjini hapa. Alisema machafuko yaliyotokea katika baadhi ya nchi za kusini mwa...

Baraza la madiwani Halmashauri ya mji wa Kahama.

11Feb 2016
Mohab Dominick
Nipashe
Bil. 44 kwa ajili ya bajeti ya mwaka 2016/17, huku vipaumbele vikiwa kwenye ni miundombinu ya barabara, elimu, afya, maji na usafi wa mazingira. Hayo yalieleza katika kikao cha baraza hilo na...

Wananchi wakivusha usafiri wa pikipiki kwenye mto mapogoro kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

11Feb 2016
George Tarimo
Nipashe
Ni jambo linalowalazimu wananchi hao kuhama makazi yao na kwenda kwa majrani. Miongoni mwa wahanga hao ni wanaotoka katika eneo la Mapogoro, katika tarafa ya Idodi, Jimboni Ismani. Mvua hizo zilianza...

Wafanyabishara wa soko la kiwalani.Picha ya Maktaba

11Feb 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Aidha, wachuuzi wa mbogamboga na samaki wameeleza kuwa maeneo yao ya kufanyia biashara hayaridhishi kutokana na mabati kutoboka hivyo kupata adha kubwa wakati wa mvua. Hayo yalisemwa na mjumbe wa...

Kaimu Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Nainokwe, Mohamed Kitone (kushoto) akiwa na Kaimu Mwenyekiti wa kijiji hicho, Rajab Mpulu.

11Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Kijiji hicho kilianza mchakato wa kumiliki misitu hiyo mwaka 2006 na ikathibitishwa mwaka 2008, huku uvunaji wa mazao yake ulianza mwaka 2010. Kikiwa kinamiliki misitu ya Kijawa ‘A’ wenye ukubwa...
11Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Migogoro hiyo iliyoibuka katika miaka ya karibuni, imesababisha mapigano kila uchao baina ya makundi hayo. Kila kundi linalalamikia kuonewa na lingine kuhusu haki ya kumiliki ardhi kwa ajili ya...

Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa

11Feb 2016
Nipashe
Tayari uzinduzi wa Mwongozo wa Utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NMSFEE) umeshazinduliwa juzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, jijini Dar es Salaam....

waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa.

11Feb 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Kusimamishwa kazi kwa kigogo huyo kumetokana na kuwepo kwa taarifa za kampuni kupata hasara ya zaidi ya Sh. milioni 700. Mbarawa alisema serikali ilibaini wizi huo kupitia mtandao na...

Shughuli za uchomaji mkaa hatua ya kwanza.#picha na Maktaba.

11Feb 2016
Nipashe
Ofisa Misitu wa wilaya hiyo, Reginald Lyimo, ameuambia mkutano wa baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kuwa, mtu yeyote atakayekamatwa akiuza mkaa bila ya kuwa na leseni atachukuliwa hatua za...

Picha ya Maktaba.

11Feb 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Walisema awali kabla ya kupewa elimu hiyo, walikuwa wanaogopa kukopa fedha benki wakihofia kutozwa riba kubwa na wakishindwa kurejesha kwa wakati wanafilisiwa na kuwekwa rumande hivyo kushindwa...
11Feb 2016
Restuta James
Nipashe
Katika baadhi ya maeneo, shule zimelazimika kufungwa kwa muda kutokana na kuzingirwa na maji. Na nyingine kupata nyufa au kuanguka sehemu kutokana na mvua hizo. Kwa waishio mabondeni hususani...
11Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi, imecheza mechi 10 ugenini hadi sasa, ikishinda mechi sita, sare tatu na kufungwa mechi moja tu. Simba pia imevuna pointi 21 ikicheza nyumbani uwanja...

Pages