NDANI YA NIPASHE LEO
09Feb 2016
Restuta James
Nipashe
Kwamba kupitia Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na ile ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kazi ya kutumbua majipu inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli, ingerahisishwa kabisa.
Hii ni kwa...
09Feb 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara na maafisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,
Dk. Likwalile alisema wafanyabiashara wengi wamekuwa wakifanya biashara na kukwepa...
09Feb 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Ilikuwa ni kichekesho,lakininiliona ni jambo linaloakisi ainisho la uongozi katika jamii na hawa wapiga kura wetu, kiongozi sio lazima uwe na elimu, ukijua kuupiga mdomo vizuri basi, mambo yatakwenda...
09Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kwanza maana ya ‘Dawa ya moto ni moto” nikieleza kutokubaliana na usemi huo. Pili, kutoridhishwa na maneno anayotamkiwa mgonjwa wakati anapoagwa kuambiwa “haya ugua pole.”...
09Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Wakizungumza katika mkutano uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la HakiElimu na kuwashirikisha wadau mbalimbali wakiwamo wanataaluma kutoka...
09Feb 2016
Nipashe
Yeye ni mwandishi mwandamizi katika gazeti la nchini humo la FrontPage Africa, Azango aliiambia IPS kuwa pamoja na kwamba serikali ya Liberia ilitia saini mkataba mwaka 2012 unaoahidi wananchi wake...
09Feb 2016
Nipashe
Azma hii ya serikali ni kutaka kuona utekeleza wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 yenye lengo la kuhakikisha kwamba, watoto wote wa Tanzania wanapata elimu bila kikwazo ikiwamo ada au malipo...
09Feb 2016
Nipashe
Huyu ni mzee Mahashta Murasi, fundi viatu aliyestaafu kazi hiyo mwaka 1953, wakati alipokuwa na umri wa miaka 122.
Amechoka kuishi, hana dada wala kaka waliyezaliwa naye tumbo moja. Hata vitukuu...
09Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kikosi cha Wanajangwani chenye nyota 21 kitaondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kesho alfajiri kwenda Mauritius kwa ajili ya mechi ya mwishoni mwa...
09Feb 2016
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi imeshinda mechi zote sita za VPL ilizocheza tangu kuanza kwa mwaka huu (tano chini ya kocha mpya Mganda Jackson Mayanja) ikifunga magoli 14 huku ikiruhusu nyavu zake kutikiswa...
09Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kipigo dhidi ya Coastal Union ambacho kilikuwa cha kwanza kwa Yanga msimu huu, kilifuta ndondo za kipa huyo wa zamani wa Simba na Azam FC kutoruhusu nyavu za timu yake kutikiswa kwenye mechi ya nane...
09Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Goli la video lililofungwa na straika wa kimataifa kutoka Ivory Coast baada ya pasi sita kupigwa ndani ya sekunde tatu kwenye lango la Mwadui FC jijini Dar es Salaam liliipa Azam FC ushindi wa 13...
09Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Goli la video lililofungwa na straika wa kimataifa kutoka Ivory Coast baada ya pasi sita kupigwa ndani ya sekunde tatu kwenye lango la Mwadui FC jijini Dar es Salaam liliipa Azam FC ushindi wa 13...
09Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
“Mheshimiwa nilipogeuka tukaonana uso kwa uso na Kubenea, akanieleza yeye ni Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, aliniambia wewe ni kibaka, mjinga, mpumbavu na umeteuliwa kwa kupewa.”
Akitoa ushahidi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam jana, Thomas Simba, katika kesi ya kutoa lugha ya matusi inayomkabili Kubenea, Makonda alidai baada ya...
09Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Serikali ya awamu ya nne kwa kipindi kirefu haikuwalipa makandarasi fedha zao kutokana na madai ya kutokuwa na fedha, hali iliyosababisha wengi wao kuondoka katika maeneo ya kazi na miradi...
09Feb 2016
Nipashe
Baadhi ya bidhaa hizo zilikuwa zimehifadhiwa chooni hali inayohatarisha afya za watumiaji.
Katika eneo la Kihonda, maofisa wa TFDA walifanikiwa kuingia kwa mfanyabiashara mmoja aliyefahamika kwa...
09Feb 2016
Nipashe
Katibu wea soko hilo, Furahisha Kambi, alisema juzi kuwa kitendo cha wafanyabiashara hao kufanya biashara nje ya soko, kinasababisha wateja kuishia nje hivyo kuwafanya wanaofanya kazi zao kihalali na...
09Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Mwishoni mwa wiki, wafanyakazi hao walimsaidia kijana Hashim Mikidadi, anayejihusisha na kuuza bucha la nyama kwa kukarabati duka lake lililopo stendi ya mabasi Ngerengere, mjini Morogoro....
09Feb 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, alisema Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), iko chini ya Rais na...
09Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Huku CUF ikisema hiyo ni danganya toto kwa kuwa CCM na serikali yake haitaki mazungumzo.
Zanzibar iko katika mkwamo wa kisiasa baada ya Tume ya Uchaguzi visiwani humo (ZEC) kufuta matokeo...






