NDANI YA NIPASHE LEO
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Hatua hiyo imekuja kutokana na Mbunge huyo kushindwa kuthibitisha tuhuma za ufisadi wa sh. bilioni 238 alizotoa dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ambaye sasa ni Waziri wa...
05Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Lowassa alieleza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa amewapa ruhusa Chadema kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano kwa lengo la kuwashukuru wananchi kwa kuwapigia kura katika uchaguzi mkuu uliopita....
05Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika maeneo tofauti nchini hususan katika majiji yakiwamo ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Tanga baadhi ya nyumba au majumba ujenzi wake katika miaka ya karibuni hauzingatii umuhimu wa kuchimba...
05Feb 2016
Nipashe
Wakati serikali ikitoa tamko hilo, mwili wa rubani huyo umesafirishwa kwenda Uingereza kwa ajili ya maziko.
Gower anadaiwa kuuawa Januari 30, mwaka huu, kwa kwa kupigwa risasi akiwa katika helikopta...
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
**Ataja mambo makuu matatu yanayombakiza Rais nyumbani na kutuma wawakilishi mikutano ya kimataifa…Apotozea pia safari ya Angola…
Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe mjini Dodoma jana Balozi Mahiga alisema bado kuna uwezekano Rais Magufuli akaendelea kutosafiri kwenda nje ya nchi, akiyataja mambo hayo matatu kuwa...
05Feb 2016
Nipashe
Shime alisema mipango ya wachezaji wake kwenda kuzifumania nyavu ilikuwa ikivurugwa mara kwa mara na Majabvi aliyekuwa akiwalinda vizuri mabeki na kutibua mashambulizi yao.
"Na Ajibu aliivuruga...
05Feb 2016
Nipashe
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli alisema mshindi wa kwanza katika mbio za Kilomita 42 kwa wanaume na wanawake atapata Sh. milioni 4 kila mmoja.
“Hii ndiyo zawadi kubwa...
05Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katikati ya wiki hii Simba iliandika ushindi wa nne mfululizo baada kuisigina Mgambo JKT mabao 5-1, huku Yanga ikichomoa dakika za mwisho na kufanya matokeo kuwa 2-2 walipocheza na Prisons ya Mbeya...
04Feb 2016
Nipashe
Zipo sababu zinazotolewa katika hilo, hata wakahisi tiba za asilia ni muhimu kwao kuliko rasmi ya hospitalini. Hapo inajumuisha mambo kadhaa, ikiwemo elimu duni kuhusiana na hitaji la vipimo vya...
04Feb 2016
Nipashe
Yalianzia Afrika Mashariki miaka 58 iliyopita, inalipuka sasa ughaibuni
Katika nchi mbalimbali, ikiwemo Marekani ambako kuna hofu kubwa ya kusambaa homa hiyo kuna jitihada kubwa za kujihami kitaalam zinafanyika. Wataalam watafiti wanaeleza kuwa, ni janga lenye historia...
04Feb 2016
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya wazabuni wanaopewa kazi ya kukusanya ushuru hasa wa mazao, kutoroka na fedha za halmashauri hasa nyakati ambazo siyo za mavuno. Akizungumza kwenye kikao cha Baraza...
04Feb 2016
Nipashe
Pia wafanyabiashara hao wametakiwa kutowachagua viongozi ambao watawalaghai kwa kuwapa fedha kwani watakuwa na nia kujinufaisha wenyewe. Wito huo umetolewa na mwanasheria kutoka shirika lisilo la...
04Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
***Niyonzima alikuwa moto, lakini Yanga iliacha pointi mbili Mbeya wakati Kiiza akitupia mara mbili na kumkamata Tambwe kwa mabao.
Wakati Simba ikipata ushindi wa nne mfululizo chini ya kocha mkuu wa muda, Mganda Jackson Mayanja ilipoifumua.Licha ya matokeo hayo ambayo ni mwendelezo wa mwendo wa kusuasua baada ya Jumamosi...
04Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
***Niyonzima alikuwa moto, lakini Yanga iliacha pointi mbili Mbeya wakati Kiiza akitupia mara mbili na kumkamata Tambwe kwa mabao.
Wakati Simba ikipata ushindi wa nne mfululizo chini ya kocha mkuu wa muda, Mganda Jackson Mayanja ilipoifumua
Licha ya matokeo hayo ambayo ni mwendelezo wa mwendo wa kusuasua baada ya Jumamosi...

*Mawaziri hawa wamehusishwa na kashfa mbalimbali za ufisadi katika wizara zao
Mawaziri hao ni William Lukuvu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Profesa Sospeter Muhongo wa Nishati na Madini na Dk. Harrison Mwakyembe wa Katiba na Sheria.
Lukuvi alihusishwa na tuhuma za...
04Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Mawaziri hawa wamehusishwa na kashfa mbalimbali za ufisadi katika wizara zao
Mawaziri hao ni William Lukuvu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Profesa Sospeter Muhongo wa Nishati na Madini na Dk. Harrison Mwakyembe wa Katiba na Sheria.
Lukuvi alihusishwa na tuhuma za...
04Feb 2016
Nipashe
Maandalizi ya maashindano hayo yanayotarajia kushirikisha timu za wasichana na wavulana kutoka nchi zote za zote za ukanda huo, tayari yameanza chini ya chini ya usimamizi wa Shirikisho la Riadha...
04Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kazimoto ambaye kwa mara ya kwanza alitua Simba akitokea JKT Ruvu, alisema jana kuwa changamoto zinazidi kuongezeka dhidi yao wakati wa lala salama kutokana na baadhi ya timu kujiimarisha ili kutwaa...