NDANI YA NIPASHE LEO

Watumiaji wa dawa za kulevya.

12Feb 2016
Fatma Amir
Nipashe
Alisema hayo juzi jijini Dar es salaam katika mkutano wa kujadili namna bora ya kudhibiti kuenea kwa matumizi ya dawa hizo. Aidha, alisema asilimia 13 ya watu milioni 13 duniani wanatumia dawa za...

PICHA NA STEVEN WILLIAM.

12Feb 2016
Steven William
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea jana saa 1:00 katika barabara kuu ya Tanga -Segera, wakati basi hilo likielekea Dar es Salaam na lori likielekea njia ya kwenda Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage.

12Feb 2016
Nipashe
Kwamba wanaweza kulitumia kama sehemu ya kuweka akiba ya fedha wanazopata kutokana na shughuli zao za kibiashara kwa sababu ni eneo lililo salama. Na pengine ni salama zaidi kuliko hata kuhifadhi...

Sukari ikiwa ghalani, katika kiwanda cha kuzaslisha sukari. (PICHA NA MTANDAO)

12Feb 2016
Mary Mosha
Nipashe
Vibali ya muda vya kuingiza sukari kutoka nje ya nchi, vilitolewa wakati kulipotokea upungufu wa sukari kitaifa. Kuendelea kuingizwa kwa sukari hiyo sasa imeiobua kilio cha wawekezaji wa ndani...
12Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Rais Dk. John Magufuli (wakati huo akiwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia CCM) alitoa nyingi, akiongozwa na kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’ na kibwagizo cha ‘Tanzania ya Magufuli itakuwa ya Viwanda’....
12Feb 2016
James Mbatia
Nipashe
***Magufuli bado anapangusa vichunusi
Utaratibu wenyewe kwanza ni katiba na sheria zake, sasa unaweza kumpema Rais Magufuli, je utarartibu alioukuta kwa sababu hatujaanza kwenye mfumo sifuri, tulikuwa na serikali ya awamu ya kwanza, ya...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

12Feb 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Akizungumza mjini hapa jana wakati makabidhiano ya vifaa vya hospitali vilivyotolewa msaada na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Zainabu Chaula, alisema...

Alfred George, akifafanua namna wanavyofuga vipepeo. (PICHA NA RAHMA SULEIMAN)

12Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Ufugaji huo ni njia bora ya kujikwamua kiuchumi, lakini kiafya kwa wananchi wa kijiji cha Pete, wameweza kuhifadhi mazingira kutokana na ufugaji huo wa vipepeo. Asha Mohammed, ni mfugaji vipepeo...
12Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Katika siku hizo amejielekeza katika kushughulikia mambo kadhaa yenye maslahi kwa taifa, ikiwamo kuongeza ukusanyaji wa mapato ya serikali, kuweka nidhamu katika matumizi na kupambana na ufisadi....
12Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
DAR ES SALAAM
Licha ya hayo, usafiri huo unatoa ajira kwa wafanyakazi wengi ambao hutegemewa na familia zao katika kuyaendesha maisha yao. Hata hivyo, kuna kero kubwa wanayokabiliana nayo watumiaji wa usafiri...

BAADHI YA WACHEZAJI WA YANGA

12Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Inakwenda kucheza mechi yake ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Cercle de Joachim...
Yanga inaondoka nchini, huku ikiwa inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Bara baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Ruvu Jumapili iliyopita. Kocha Mkuu Yanga Mholanzi, Hans van der Pluijm alisema...
12Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kazi hiyo ya kusafisha watendaji wa Serikali iliyopewa jina la 'Tumbua majipu', haijaishia kwa viongozi hao tu, bali inaendelea katika sekta yote ya michezo, imefahamika mwishoni mwa wiki hii....
12Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katika kipindi hicho, mambo kadhaa katika sekta ya michezo yameguswa kama sehemu ya mwendelezo wa Serikali ya Awamu ya Nne. Lakini pia, Serikali ya Magufuli imeamua kuyaweka kipolo baadhi ya mambo...
12Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mratibu wa onyesho hilo kutoka Kampuni ya King Solomon, Hellen Kazimoto alisema kuwa EATV na Redio wamedhamini onyesho hilo ilikutoa nafasi kwa wapendanao kuwa pamoja siku hiyo. "Tunawashukuru...

OFISI ZA JIJI LA MBEYA

12Feb 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Daladala zilizosababisha hasara hiyo ni zile zinazofanya safari zake kati ya Uyole, Nsalaga, Igawilo, Ituha na Isyesye kuingia katikati ya jiji, ambazo ziligoma kulipa ushuru kutokana na ubovu wa...
12Feb 2016
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe jana mbele ya mwenyekiti huyo, walisema kumekuwa na mkanganyiko wa ufanyaji kazi katika kituo hicho ikiwamo utozaji wa kodi kwa vyombo vya usafiri kihalali huku baadhi ya...

Rais Dk.John Magufuli

11Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akijibu swali la Nipashe kutaka kujua walivyopokea ombi la Rais kwa jumuiya za kimataifa kuzungumza na CUF, ili wakubali kushiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20, mwaka huu,...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa.

11Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, wakazi wanaoishi pembezoni mwa barabara hizo na ambao wameshalipwa fidia wametakiwa kuondoka maeneo hayo mara moja ili kupisha kazi ya ujenzi wa barabara hizo kuendelea. Hayo yalisemwa na...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Naibu wake Dkt. Hamisi Kigwangalla.

11Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Katika idadi hiyo ya sense, takwimu za kiafya za serikali nchini zinaonyesha watu 100 kati ya 100,000 hugundulika kila mwaka kuwa ni waathirika wa saratani. Huo ni wastani sana na asilimia 0.1 ya...
11Feb 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Mafunzo hayo yalilenga kuwapatia uelewa kuhusu usalama na madhara ya matumizi ya chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba visivyo bora kwa jamii. Hatua ya TFDA kuwashirikisha wadau baada ya kutambua...

Pages