NDANI YA NIPASHE LEO
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Shirikisho hilo limebaini viashiria vya upangaji matokeo katika mechi za mwisho za ligi hiyo msimu huu zilizozihusisha Geita Gold na Polisi Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na shirikisho hilo, Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) iliyokutana juzi kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi C la FDL -- JKT...
18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
WAKATI mwingine ushabiki wa mchezo wa soka ni kama utumwa unaoweza kusababisha madhara makubwa, kikiwamo kifo.
Shabiki mmoja wa Arsenal amelazwa hospitalini na kufanyiwa upasuaji baada ya kuugua...
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo zitachuana katika mechi hiyo ya pili ya watani wa jadi msimu huu itakayochezeshwa na refa mwanamama Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.
Akiwa kambini Morogoro jana mchana, Mganda huyo...
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Makocha wasaidizi wa Azam, Mario Marinica na Dennis Kitambi, walikuwapo Shelisheli Jumamosi kushuhudia mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo, Bidvest Wits ikishinda 3-0.
Kitambi alikaririwa...
18Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Msanii huyo ni Denis Michael Mhina ama 'Joni Woka' kwa jina la kisanii ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kurapu kwa staili kama ya mtu mlevi ingawa hakuwa mnywaji pombe....
17Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ni kipindi ambacho wananchi ambao ni wapigakura hukusanyika katika mikutano ya hadara kusikiliza sera za kila mmoja.
Kupitia sera na ahadi hizo ndipo wanbanchi hupata furasa ya kufanya uamuzi ni...
17Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Meya wa Manispaa hiyo ni Boniface Jacob ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo ambaye siku chache baada ya kushinda nafasi hiyo alikabidhiwa ilani ya chama hicho ili aitekeleze kikamilifu.
Jacob...
17Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Rais Magufuli anapongezwa kwa sababu sehemu kubwa ya tathmini ya siku 100 tangu aingie madarakani, inaonyesha ongezeko la watu wenye imani kwa serikali yake.Ingawa ni hivyo, wapo wachache wanaopata...
17Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika mkutano wa wadau kujadili maendeleo ya tafiti, elimu, matibabu na mafunzo kuhusu ugonjwa wa sikoseli nchini katika kipindi cha miaka 10 kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es...
17Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua mtoto huyo kwa kumkata koromeo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Mihayo Msikhela, alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kueleza kuwa mtoto huyo alifariki dunia...
17Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalisemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wakati akizungumza na wawekezaji wa sekta binafsi katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi za Sekta jijini Dar es Salaam juzi.
“Serikali...
17Feb 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Ameonya kuwa, yeyote atakaye shindwa kutekeleza agizo hilo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Mkuu huyo wa mkoa alitoa agizo hilo juzi kwenye kikao cha bajeti na mpango wa maendeleo...
17Feb 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Mafanikio hayo ni baada ya makundi ya wanyama hao kuanza kuonekana kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuvutia wageni kutoka mataifa mbalimbali kwenda kuwaona.
Akizungumza...
17Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Alisema kutokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano duniani, biashara ya simu na posta hivi sasa ina ushindani mkubwa unaohitaji mtazamo mpana wa kibiashara ili kukidhi mahitaji ya soko.
“...
17Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mjadala huo umetokana na mambo makubwa mawili ikiwemo uhalali wa kikatiba na kisheria kwa Mwenyekiti wa Tume kufuta matokeo na uchaguzi wote na uhalali wa Kikatiba wa Rais wa Zanzibar kuendelea...
17Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hatua hii imelenga katika kuhakikisha kwamba Serikali ya Rais Dk. John Magufuli, inawashughulikia mafisadi kikamilifu.
Aidha, mapendekezo hayo yanalenga kufanya marekebisho ya vifungu 16 ambavyo...
17Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
***“Msikubali kabisa kupatiwa risiti zilizoandikwa kwa mikono, huko ni kufuja mapato ya kodi zenu, kodi mtakazolipa na kupewa risiti halali, zitasaidia kukuza uchumi wa nchi na kurahisisha huduma katika hospitali hii.”
Wito huo ulitolewa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jafo, alipofanya ziara katika Soko la Samaki Feri na hospitali ya Mbagala Kuu jijini Dar...
17Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanaposhinda wanatoka kifua mbele kwenda kuwashukuru wapigakura wao kwa kuwachagua na mara nyingi hapo ndipo wanaposimama na kuelezea mikakati yao ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kinyume cha hapo...
17Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maeneo yaliyoathirika zaidi na mafuriko hayo ni tarafa za Mkongo, Ikwiriri na Mhoro.
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua athari za mafuriko hao jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
17Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Diwani wa kata ya Kunduchi, Michael Urio, wakati akitembelea masoko yaliyopo katika kata hiyo mwishoni mwa wiki kwa lengo la kujionea hali ya utunzaji mazingira katika maeneo...






