MAONI YA MHARIRI »
MAKUNDI ya panya road yanayoendelea kutishia maisha na usalama wa raia na mali zao yanaweza kudhibitiwa kama kutakuwa na nguvu ya pamoja.
MATUKIO kadhaa ya mauaji yanayoendelea kutokea nchini ni dalili ya kuwapo kwa tatizo ambalo bado ufumbuzi wake haujapatikana.
SERIKALI imekuwa ikifanya kila njia katika kuwaendeleza wanawake ikiwamo kuteuliwa katika nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali zikiwamo za...
BAADA ya kilio cha muda mrefu kuhusu tozo mbalimbali katika miamala ya kielektroniki hatimaye jana Waziri wa Fedha na Mipango, amesema amepokea...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga kwa upande wa Tanzania Bara, wameanza vizuri mechi zao za raundi ya awali...
MSIMU mpya wa mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho katika hatua ya awali yanatarajiwa kufanyika kuanzia leo katika...
JANA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alikuwa mjini Kibaha, mkoani Pwani na kuagiza vituo vya afya vya serikali kutoa huduma bure kwa watu...
BEI za vyakula muhimu kama mchele, unga wa ngano na sembe imepaa kiasi cha kuwafanya watu hasa wa kipato kidogo kufikiria hatma yao.
MATUKIO ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini yanaendelea kushamiri kila siku na yanayoripotiwa kwenye vyombo vya habari ni machache ambayo...
AWAKILISHI wa Tanzania Bara kwenye michuano ya kimataifa kwa upande wa klabu, Simba, Yanga na Geita Gold Jumamosi na Jumapili wiki hii, watashuka...





