MAONI YA MHARIRI »

15Nov 2022
Nipashe

OKTOBA ulikuwa mwanzo wa kipindi cha miezi miwili cha mitihani ya darasa la nne, la saba, kidato cha pili na sasa kidato cha nne.

14Nov 2022
Nipashe

MSIMU wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2022/23 kwa Wanawake ulifikia tamati mwishoni mwa wiki baada ya fainali iliyowakutanisha mabingwa watetezi,...

12Nov 2022
Nipashe

WAKATI akiahirisha mkutano wa tisa wa Bunge jijini Dodoma jana, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizipongeza klabu za Simba na Yanga kwa kutinga hatua...

11Nov 2022
Nipashe

KATIKA maeneo mbalimbali nchini hasa kwenye miji mikubwa na ile inayoendelea kukua, kumekuwa na tatizo la ujenzi holela wa makazi pamoja na...

09Nov 2022
Nipashe

KILA siku kilio ni maji, hasa kwa wakazi wanaoishi maeneo ambayo hayapati huduma hiyo.

07Nov 2022
Nipashe

KLABU ya Yanga tayari imetua nchini Tunisia tangu Jumamosi wiki hii na kuweka kambi mji wa Sousse umbali wa takriban Km. 140 kufika Jiji la Tunis...

05Nov 2022
Nipashe

KAMA ambavyo Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Saidi, alivyosema kuwa pamoja na timu yao kukosa ushindi dhidi ya Club African katika mchezo wa...

04Nov 2022
Nipashe

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)  hivi karibuni ilitangaza kuwapo kwa mgawo wa maji katika mikoa ya Dar es Salaam...

03Nov 2022
Nipashe

AJALI za barabarani zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara katika vyombo vya habari kwenye maeneo mbalimbali nchini.

31Oct 2022
Nipashe

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, keshokutwa, Jumatano watatupa karata yao ya kwanza dhidi ya Club Africain ya Tunisia kuwania...

Pages