MAONI YA MHARIRI »
JANA nchi za Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya ushirikiano mipakani mkoani Kagera, kudhibiti ugonjwa wa ebola.
MAADHIMISHO ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani na kaulimbiu yake ya ‘Sauti Yangu, ni Usawa wa Baadaye’ ni muhimu katika kumthamini na kumwezesha...
RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amefanya ziara yake nchini Tanzania ikiwa ni taifa la kwanza kwa Afrika Mashariki kulitembelea tangu alipoapishwa...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga, Azam na Kipanga FC, Jumamosi iliyopita walipata matokeo yasiyofurahisha katika mechi...
KWA ya kwanza mwaka huu timu mbili za Tanzania kupitia mchezo wa soka zimepata nafasi ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia.
MAHITAJI ya usafiri wa umma katika miji yoyote hasa ya kibiashara lazima yatakuwa makubwa kutokana na shughuli zinazofanyika kila siku, iwe...
RAIS Samia Suluhu Hassan jana aliwaapisha mawaziri watatu aliowateua katika mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri aliyoyafanya juzi.
MWISHONI mwa wiki hii, Jumamosi na Jumapili wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu kwa upande wa soka, Simba,...
MICHEZO ya 13 ya Mataifa ya Afrika itafanyika Accra, Ghana mwakani na Tanzania ni miongoni mwa nchi 53 zinazotarajia kushiriki michezo hiyo.
HALMASHAURI Kuu ya CCM Taifa (NEC), juzi ilitangaza majina ya wagombea wa nafasi ya wenyeviti wa chama hicho ngazi ya wilaya katika uchaguzi...