MAONI YA MHARIRI »

29Sep 2022
Nipashe

SERIKALI jana ilitangaza kuwa Tanzania iko kwenye tishio kubwa la kukumbwa na ugonjwa wa ebola ambao kwa miaka mingi umekuwa ikizisumbua nchi...

28Sep 2022
Nipashe

UTALII ni moja ya sekta muhimu nchini katika kuchangia pato la taifa kutokana na kuwa na vivutio mbalimbali vikiwamo hifadhi za taifa ambazo zina...

27Sep 2022
Nipashe

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limepewa dhamana kubwa katika kuhakikisha suala la mazingira nchini linasimamiwa...

24Sep 2022
Nipashe

TIMU ya Soka ya Taifa ya Wasichana wa umri chini ya miaka 17 (Serengeti Girls), inatarajia kuondoka nchini wikendi hii kuelekea Uingereza kuweka...

23Sep 2022
Nipashe

HABARI kuhusu wafugaji wa kuku kulia kwa kuuziwa vifaranga vilivyodumaa, hazifurahishi na inaua soko la kuku nchini.

22Sep 2022
Nipashe

KATIKA siku za hivi karibuni wakati viongozi mbalimbali wa kiserikali wakitembelea miradi ya maendeleo ya ujenzi, kumeibuka madai ya fedha...

21Sep 2022
Nipashe

HATIMAYE serikali imefuta na kupunguza tozo za miamala mbalimbali ya kielektroniki iliyokuwa ikilalamikiwa na wananchi kuanzia Oktoba mosi mwaka...

20Sep 2022
Nipashe

TAARIFA ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS), aliyoitoa wiki iliyopitia kuhusu kupungua kwa maambukizi mapya vya...

19Sep 2022
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara imeanza kwa ushindani mkubwa msimu huu kila timu ikionyesha dhamira yake ya kuvuna pointi katika raundi hizi za mwanzo...

17Sep 2022
Nipashe

WAKATI hatua ya awali ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho ambayo husimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF...

Pages