MAONI YA MHARIRI »
CHANDA chema huvishwa pete. Huu ni msemo wa wahenga unaobainisha kuwa kila mtu anayefanya mema, hupewa tuzo maalum ikiwa ni kutambua mchango wake...
TAASISI mbalimbali zinazopinga matukio ya ukatili ziko kwenye maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga vitendo vya Ukatili.
KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la uwepo wa mapambano ya ngumi yanayoandaliwa kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini.
HADI sasa nchi nzima tuko kwenye mgawo wa umeme. Hilo tena siyo suala lenye jibu la kubahatisha, kwani uhalisia na wenye nyumba wenyewe wameweka...
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, juzi alisema kutokana na kuwapo kwa matukio ya wanaume...
HALI ya ukosefu wa mvua na baadhi ya maeneo kuonekana kukumbwa na ukame ni moja ya sababu ya uharibifu wa mazingira hasa wa ukataji miti ovyo.
USHINDANI kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2022/23, unazidi kuwa mkubwa kadri unavyosonga mbele jambo ambalo linadhihirisha wazi kila...
HIVI karibuni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilitangaza kuachana na tabia ya ukusanyaji wa mapato kwa njia ya mabavu na kuahidi utaratibu wa...
HALI ya ukosefu wa mvua na baadhi ya maeneo kukumbwa na ukame ni moja ya sababu za uharibifu wa mazingira hasa ukataji wa miti ovyo.
JAMII inaweza kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza ambayo kwa sasa yanaelezwa kuwapata Watanzania wengi kutokana na kutotilia maanani ulaji ulio...