MAONI YA MHARIRI »

28Jul 2022
Nipashe

WIMBI la ajali limeendelea kuikumba nchi na kupoteza maisha ya Watanzania wengi wakiwamo watoto ambao ni tegemeo la taifa la kesho.

27Jul 2022
Nipashe

JANA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, aliiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD) kufumuliwa na kusukwa upya ndani ya miezi sita, ikiwamo...

25Jul 2022
Nipashe

MICHEZO 18 ya Jumuiya ya Madola inafanyika jijini Birmingham nchini England kuanzia Julai 28 hadi Agosti 8, mwaka huu na Tanzania ni miongoni mwa...

23Jul 2022
Nipashe

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF), juzi lilitangaza kumfungia Msemaji wa Yanga, Haji Manara, kutojihusisha na masuala ya mpira kwa muda wa miaka...

22Jul 2022
Nipashe

TAARIFA kuwa makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa, dhamana zinatia moyo kutokana na vitendo hivyo kushamiri katika maeneo...

21Jul 2022
Nipashe

SERIKALI imeanza utaratibu wa kusikiliza kero za wastaafu na kuzishughulikia.

20Jul 2022
Nipashe

WAKATI elimu na uhamasishaji wa wananchi kushiriki Sensa ya Watu na Makazi, inayotarajiwa kuanza Agosti 23, mwaka huu, ikiendelea jamii imetakiwa...

19Jul 2022
Nipashe

WANACHAMA wa Mabaraza ya Maaskofu Katoliki wa Afrika Mashariki na Kati (AMECEA), wamemaliza mkutano wao Dar es Salaam, unaotuachia somo la...

18Jul 2022
Nipashe

KLABU za Ligi Kuu Tanzania Bara zipo kwenye mandalizi ya Ligi Kuu na usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu.

16Jul 2022
Nipashe

MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inayoshirikisha timu 16 kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini unatarajiwa kufunguliwa rasmi ifikapo...

Pages