MAONI YA MHARIRI »
BEI ya vyakula inazidi kupanda kwa kile kinachoelezwa kuwa kupanda kwa mafuta ambayo kwa sasa lita moja ya petroli inauzwa Sh. 3,200, na dizeli ni...
NDANI ya saa 24, nguvu kazi ya watu 13 wamefariki dunia kwa sababu ya ajali za barabarani ambazo zimetokea katika eneo la Busiri, barabara kuu ya...
JANA Baraza la Habari Tanzania (MCT) lilizindua machapisho manne ya vitabu vinavyotoa miongozo kwa waandishi wa habari namna ya kupata na kutoa...
JUZI, Waziri wa Nishati, January Makamba, alieleza mpango mkakati wa wizara hiyo wa siku 21 wa kuanza ziara ya kutembelea mikoa 14 na wilaya 38,...
MPIRA wa miguu ni mchezo maarufu, si Tanzania pekee bali dunia nzima. Umaarufu wa Ligi Kuu ya England (EPL) umevuka mipaka ya nchi hiyo, ambao ni...
MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 ulimalizika Juni 29, mwaka huu kwa timu zote 16 zilizokuwa zinachuana kushuka dimbani kumalizia ngwe...
TANZANIA jana iliadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani ambayo pamoja na mambo mengine yamewekwa maagizo kadhaa na serikali juu ya kukuza lugha hiyo...
BARAZA la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA), juzi lilitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Mei, mwaka huu. Matokeo hayo ,...
JANA Rais Samia Suluhu Hassan, alisema miongoni mwa kesi zinazopokelewa Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam, ni watoto wenye umri mdogo wa...
MABADILIKO ya tabianchi kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu.





