MAONI YA MHARIRI »

28May 2022
Nipashe

MIAMBA ya soka Tanzania, Yanga na Simba leo Jumamosi inashuka kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kuwania kutinga fainali ya Kombe la...

25May 2022
Nipashe

JUZI wabunge wawili waliamua kuonyesha hisia zao kwa kufanya vitendo vitakavyogusa mioyo ya waandaaji wa makadirio ya bajeti, umma na wawakilishi...

24May 2022
Nipashe

SERIKALI imesema inatarajia kutengeneza ajira mpya milioni nane hadi mwaka 2025 kwa kufanya mabadiliko ya sheria, sera na kanuni za uwekezaji...

21May 2022
Nipashe

KIKOSI cha Timu ya Soka ya Taifa ya wasichana wa umri chini ya miaka 17 (Serengeti Girls), kiliondoka nchini jana kuelekea Cameroon kuwakabili...

20May 2022
Nipashe

JUMATANO, Rais Samia Suluhu Hassan, aliwashangaa wabunge wanaorodhesha matatizo ya maeneo yao, huku akiwataka wawajibike kuepuka kuwa walalamikaji...

18May 2022
Nipashe

JUZI Rais Samia Suluhu Hassan, aliongea na machinga kwa simu na kuahidi kuwa mwaka wa fedha unaoanza Julai mwaka huu, ofisi yake itatoa Sh....

17May 2022
Nipashe

WADAU mbalimbali wanaeleza fursa zinazoibuliwa kuwapo kwa Filamu ya Royal Tour, ikiwamo umuhimu wa kufanya mabadiliko ya sheria na sera mbalimbali...

14May 2022
Nipashe

​​​​​​​KWA hali ya kawaida kila klabu inapopambana kuhakikisha inaingiza timu yake kwenye Ligi Kuu inakuwa na malengo.

12May 2022
Nipashe

JUZI Bunge liliagiza serikali kuangalia upya vigezo vya utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, ili kupunguza malalamiko ya kutokuwa na...

11May 2022
Nipashe

SERIKALI jana ilitangaza hatua mbalimbali za kupunguza bei za mafuta ifikapo Juni Mosi, mwaka huu, lengo likiwa kupunguza ukali wa maisha kwa...

Pages