MAONI YA MHARIRI »
BEI ya mafuta ya magari imepanda kwa kiasi kikubwa katika historia ya Tanzania, hali iliyosababisha bidhaa nyingine kupanda na kuwapo mfumuko wa...
JANA ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ilikabidhiwa kwa Bunge ambayo sasa itakuwa wazi kwa umma kusoma na kujua...
JUZI, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, aliwataka viongozi wenye nafasi mbalimbali kuacha...
KATIKATI ya jiji la Mwanza kuna mtaa maarufu unaoitwa Makoroboi. Ni jina linalotokana na wajasiriamali wa wakati huo waliokuwa wakitengeneza ...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limetangaza kuanzia hatua ya robo fainali na kuendea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho...
MPIRA wa miguu ni mchezo maarufu, si Tanzania pekee bali dunia nzima. Umaarufu wa Ligi Kuu ya England (EPL) umevuka mipaka ya nchi hiyo, ambao ni...
JUZI, Rais Samia Suluhu Hassan, aliagiza Wizara ya Afya kuchunguza haraka mifumo inayotumiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kwa kufuatilia dawa...
JUZI Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ikiwa na ongezeko la Sh. 321 kwa lita ya petroli , Sh...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan, alizindua mpango wa kugawa vitendea kazi kwa maofisa ugani nchini, ambao unalengo la kuboresha kilimo chini ya...
WATAALAMU na wadau wa misitu wiki iliyopita walikutana kushirikishana uzoefu na taarifa kuhusu changamoto na fursa zilizoko kwenye utunzaji na...





