MAONI YA MHARIRI »
LIGI Kuu Bara imeingia raundi ya 19, ambapo mzunguko huu utakapokamilika kila timu itakuwa imebakiza mechi 11 kabla ya kumalizika kwa msimu huu wa...
MASHABIKI wa soka nchini kesho wataelekeza macho na masikio yao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwafuatilia...
UKISOMA ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka 2020/21, kila eneo alilokagua amekuta upigaji mkubwa, ikimaanisha...
NI mwezi wa tatu tangu kuanza kwa mwaka 2022, lakini kwa kipindi hicho kifupi, ajali za barabarani zimetokea na kukatisha uhai wa baadhi ya watu...
HIFADHI ya Jamii ya Burunge, Wildlife Management Area (WMA), iliyoko Tarafa ya Mbugwe, Wilaya ya Babati Vijijini mkoani Manyara, yenye kilomita za...
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu, Simba wanatarajia kushuka dimbani Jumapili wiki hii kwenye mechi...
KUMEKUWA na kelele nyingi za wadau wa soka kuhusiana na mamuzi ya waamuzi wa mpira wa miguu kwenye Ligi Kuu Tanzania bara na zile za chini.
MWANZONI mwa mwezi huu kuliripotiwa kuwapo uchafuzi kwenye Mto Mara mkoani Mara uliosababisha samaki kufa na kuelea kwenye mto huo.
WIZARA ya Afya imetangaza kuwa inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), na...
MAJI ni hitaji muhimu sana katika maisha ya binadamu. Kutokana na umuhimu huo, kuna usemi kuwa ‘bila maji hakuna uhai’.





