MAONI YA MHARIRI »
SEHEMU kubwa ya Tanzania kwa sasa inakumbana na athari za kukatika kwa umeme kutokana na mgawo uliotangazwa na serikali, ambao utachukua siku 10...
BUNGE limemchagua kwa kura zote 376, Dk. Tulia Ackson kuwa Spika, akijaza nafasi ya Job Ndugai aliyejiuzulu wadhifa huo mapema mwezi uliopita.
MWANZA ni miongoni mwa mikoa mitano ambayo inatajwa kufanya vizuri katika chanjo ya UVIKO-19, ambapo Mganga Mkuu wa mkoa huo, Dk. Ruta Thomas,...
MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa 14 utanza wiki hii baada ya mwishoni mwa wiki kupisha mechi za hatua ya 32 ya michuano ya Kombe...
MISEMO ya kale inasema kwamba, haijalishi ni wakati gani mgumu unaopitia, lakini mara zote kuna nyakati nzuri zitakuja tu mbele yako.
SERIKALI imeendeleza hatua za kuihamasisha jamii kujitokeza kupata chanjo ya ugonjwa wa UVIKO-19, baada ya kutamka kwamba kuanzia sasa itakuwa...
MAADHIMISHO ya Wiki ya Sheria ambayo hufanyika kila mwaka yalizinduliwa Jumapili jijini Dodoma na Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, huku...
MATUKIO ya mauaji yameshika kasi kwa sasa, kitu ambacho kinaonyesha kwamba kuna tatizo kubwa katika jamii yetu, ambalo linahitaji kupatiwa...
WATAALAMU wa mazingira wanaeleza kuwa kina cha Ziwa Tanganyika kimeongezeka kwa asilimia mbili kiasi cha kuathiri shughuli za kiuchumi na maisha...
KADRI muda unavyozidi kusonga mbele Ligi Kuu Bara inazidi kuwa ngumu, lakini na kuwa kivutio kikubwa kwa watazamaji na si Tanzania pekee, bali...





