MAONI YA MHARIRI »

22Jan 2022
Nipashe

WAKATI vigogo wa soka wakiendelea kupambana huko Cameroon kuwania taji la Afrika (AFCON 2022), Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya umri chini ya...

21Jan 2022
Nipashe

JANA katika gazeti hili ilichapishwa picha ya mwananchi mmoja akipita kwenye nguzo zilizowekwa mbadala baada ya daraja linalounganisha eneo la...

20Jan 2022
Nipashe

WIKI hii ndiyo uamuzi wa majina matatu yatakayopelekwa kwenye kikao cha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kupigiwa kura ikiwa ni...

19Jan 2022
Nipashe

JUMATATU ya wiki hii shule za msingi na sekondari zilifunguliwa huku asilimia kubwa wanafunzi, walimu na watumishi wengine wakionekana kutochukua...

18Jan 2022
Nipashe

JUZI soko maarufu la mitumba na bidhaa nyingine la Karume, Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, liliungua moto na mali zote kuteketea na...

17Jan 2022
Nipashe

KUMEKUWA na malalamiko mengi ya kuboronga kwa baadhi ya waamuzi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea nchini, labda ni kwa sababu ndiko kuna...

15Jan 2022
Nipashe

USAJILI wa dirisha dogo kwa ajili ya wachezaji wanaoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Ligi ya Championship (zamani Ligi Daraja la Kwanza),...

14Jan 2022
Nipashe

MWISHONI mwa wiki iliyopita, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kwa kuwateua wapya kuongoza wizara, wengine...

13Jan 2022
Nipashe

MATUKIO ya mauaji kutoka ndani ya familia yameendelea kutikisa katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni na yanaendelea kutokea na kuleta taharuki...

11Jan 2022
Nipashe

BEI ya mahindi katika masoko mbalimbali mikoa ya Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara) imepanda kutoka Sh. 55,000 hadi 127,...

Pages