MAONI YA MHARIRI »

19Nov 2021
Nipashe

TANZANIA imeingia kwenye orodha ya nchi zilizokubali chanjo ya ugonjwa wa corona, na sasa watu wake wanachanja baada ya kuhamasishwa na kuamini...

18Nov 2021
Nipashe

WADAU wa habari wamewasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya sheria zinazosimamia taaluma ya habari nchini na yamepokelewa na Waziri wa Habari,...

17Nov 2021
Nipashe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo, juzi alieleza kuwa uchomaji ovyo wa misitu umekuwa moja kati ya...

16Nov 2021
Nipashe

MOJA ya kilio kikubwa cha watumiaji wa kituo cha daladala cha Nyuki, Tegeta Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, ni ubovu wa kituo hicho ambacho...

15Nov 2021
Nipashe

NI rasmi sasa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeaga michuano ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Qatar na mechi ya...

13Nov 2021
Nipashe

KAZI iendelee, hii kauli inatakiwa iendelee kuzunguka na kuonekana kwa vitendo kwenye vichwa vya Watanzania wote ili kuhakikisha ndoto zetu...

12Nov 2021
Nipashe

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa...

12Nov 2021
Nipashe

HIVI karibuni, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ilitoa taarifa ya kuongezeka kwa joto na kuchelewa kwa mvua kutokana na jua la utosi, huku...

11Nov 2021
Nipashe

JUZI Wizara ya Nishati ilieleza kuwa katika kipindi cha mwaka 2004 hadi Juni 2020, matumizi ya gesi asilia ya Mnazi Bay na Songo Songo yamesaidia...

10Nov 2021
Nipashe

SERIKALI imeanzisha maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha kitaifa ukiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha wa mwaka...

Pages