MAONI YA MHARIRI »
JUNI mwaka jana, Bunge lilipitisha pendekezo la serikali la kusamehe kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye nyasi bandia kwa viwanja vya mpira...
LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania imeingia katika raundi ya nne na leo mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi itakayowakutanisha watani wa...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza kurudisha gharama za awali za kuunganisha huduma ya umeme kwa wateja wake, kama zilivyokuwa...
JANA Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilitangaza bei mpya za petroli, ambayo imeshuka kati ya Sh. 4 hadi 35 na dizeli Sh...
JUZI watu 14 wa Kijiji cha Lindumbe Wilaya ya Newala mkoani Mtwara walifariki na wengine 22 kujeruhiwa, baadhi yao vibaya kutokana na ajali ya...
JUMLA ya wasichana 3,000 wa umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatiza masomo ya sekondari wanatarajia kuanza tena Januari 17, mwaka huu katika...
WIKI iliyopita tuliandika kuhusu tukio la ajabu lililotokea Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwenye mechi kati ya KMC FC na Simba, ambapo mlinda...
OKTOBA mwaka huu serikali ilipokea mkopo wa Sh. trilioni 1.3 kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa UVIKO-...
MOJA kati ya matukio yaliyowashangaza wengi kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya KMC na Simba, iliyopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan...
WAKATI mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ukiwa unaendelea, tayari Shirikisho la Soka Nchini (TFF), limeshafungua dirisha dogo la...






