MAONI YA MHARIRI »
JANA Wizara ya Afya, imetangaza kuwapo kwa maambukizi ya UVIKO-19 na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari kwa kujikinga ipasavyo kwa kuvaa...
HIVI karibuni serikali imewataka Watanzania watakaosafiri kwenda likizo maeneo mbalimbali nchini, kuchukua tahadhari ya UVIKO-19 kwa kuvaa barakoa...
KWA mara ya kwanza, wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022, wanatarajia kuanza masomo kwa pamoja, tofauti na miaka...
DIRISHA dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake nchini, kwa ajili ya kuimarisha...
JANA Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza kuigawanya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuwa na Wizara ya Maendeleo...
RAIS Samia Suluhu Hassan, juzi alisema bado kuna utoroshaji wa madini, hivyo kuzitaka mamlaka zote kushirikiana kudhibiti hali hiyo, ambayo...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan, alieleza madhila aliyokumbana nayo wakati akiwa raia na mtumishi wa kawaida serikalini kwa kunyanyaswa na askari...
DESEMBA huwa ni mwezi wenye shughuli nyingi zikiwamo sikukuu za mwisho wa mwaka ambazo huambatana na mahitaji ya fedha.
KUFANIKIWA au kufeli kwa mashirika au taasisi za umma katika utendaji wa majukumu yake kwa kiwango kikubwa ni matokeo ya namna gani bodi za...
KILA Desemba tumekuwa tukishuhudia kero na taabu ya usafiri wa mabasi katika maeneo mengi hususan kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa ya kaskazini...






