SAFU »
WATAHINIWA 566,840 nchi nzima, walianza mtihani kidato cha nne jana, huku Baraza la Mitihani la Tanzania -NECTA likitoa onyo kwa wanafunzi watakaojihusisha na udanganyifu katika mitihani hiyo.
NI ukweli usiopingika kuwa idadi ya mashabiki kwenye viwanja vya soka inazidi kupungua siku hadi siku.
JUMATANO iliyopita Tanzania iliingia kwenye historia ya aina yake baada ya klabu mbili kongwe nchini, Simba na Yanga zote kuingia kwenye hatua za makundi ya michuano ya kimataifa.
Ndege hiyo ilianguka ilipokuwa ikijaribu bila mafanikio kutua kwenye Uwanja wa Ndege, Bukoba mkoani Kagera.
Ajali hiyo ilitokea asubuhi majira ya saa 2:30 asubuhi na kuleta mshituko na...
“KILIMO ni uti mgongo wa uchumi wa taifa.” Ni kauli inayoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, akihamasisha umma kukipenda kilimo na kujizatiti kwenye uzalishaji mashambani.
HISTORIA imeandikwa, baada ya timu ya soka ya Wanawake ya Klabu ya Simba, Simba Queens, kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
MOJA ya matatizo makubwa yanayoikabili dunia, Tanzania ikiwamo, ni kasi ya mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha madhara mengi kama sasa tunavyoshuhudia hakuna mvua za kutosha. Ukame uko...
BAADA ya Yanga kushindwa kuifunga Club Africain ya Tunisia Jumatano iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya mchujo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, baadhi ya wanachama na...
HIKI ni kipindi kigumu kwa Watanzania, baada ya kuwapo uhaba mkubwa wa maji, kutokana na ukame sehemu mbalimbali za nchi hali iliyosababisha maji kupungua kwenye mito na mabwawa.
SIKU ya mtoto wa Afrika, iliyoandaliwa na Taasisi ya Wanawake Katika Jitihada za Kimaendeleo (WAJIKI), kupitia kampeni ya 'Safari salama bila rushwa ya ngono’
KWENYE mitandao ya kijamii nimekutana na sehemu ambayo waandishi wa michezo wa nchi za Ghana, Nigeria, Burkina Faso na Cameroon, wakipostiana video na picha za mechi kati ya Geita Gold dhidi ya...
WIZARA ya Nishati imeandaa mjadala wa kitaifa wa siku mbili kuanzia Jumanne ijayo kujadili umuhimu wa nishati safi hasa wakati huu wa kasi ya mabadiliko ya tabianchi ambayo madhara yake...
PAMOJA na kwamba mpira una matokeo matatu, ushindi, sare na kupoteza, kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya Azam FC na Simba, soka lingekuwa halitendi haki kama Wekundu wa Msimbazi...