SAFU »
USAFIRI wa umma ni tegemeo muhimu kwa watu wengi hususan katika maeneo ya mjini kwenda au kurudi kutoka kwenye mihangaiko ya kimaisha na shughuli nyinginezo za kujitafutia riziki.
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Januari 20,mwaka huu ilitoa mafunzo kwa wadau mbalimbali kuhusu udhibiti wa usalama wa chakula.Miongoni mwao ni waandishi wa habari.
MVUA zinaendelea kunyesha kila kona ya nchi zina athari mbalimbali. Baadhi ya maeneo zimeharibu miundombinu ya barabara kiasi cha kukata mawasiliano, mafuriko kwenye makazi ya watu, na kuezua...
MWEZI uliopita serikali ya Rais John Magufuli ilikusanya mapato ya kodi kiasi cha Sh. trilioni 1.045 kutoka kwa wafanyabiashara.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetimiza miaka 39 tangu kuanzishwa kwake Februari 5, 1977 visiwani Unguja.
MWAKA jana baada ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutangaza kufuta matokeo na uchaguzi wote Watanzania walisikia mambo mengi ikiwamo yaliyohusu vikao vilivyokaa kwa kutafuta muafaka wa...
NIMEFUATILIA kwa karibu uteuzi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge uliofanyika hivi karibuni. Kama walivyokuwa Watanzania wengi, nilikuwa ninaamini kwamba hapo hasa ndipo kazi ya kutumbua...
HIVI karibuni katika mitandao ya kijamii ya Facebook na Whatsapp! Kulikuwa na video ya uapishwaji wa madiwani katika halmashauri moja ilikuwa ikimuonyesha diwani mmoja akisoma kwa mashaka wakati...
TOLEO la gazeti hili Januari 26, 2016 niliandika makala niliyoipa kichwa “Nawachokoza magwiji wa Kiswahili” nikiuliza maswali matatu.
DONDOO MUHIMU:
Kama kweli TFF imedhamiria kukomesha kadhia ya rushwa na upangaji matokeo ya soka nchini, ninafikiri kuna haja shirikisho hilo kuwafungia maisha na kuwafikisha kwenye vyombo...
Katika kongamano la kupinga ukeketeji kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu lililofanyika Singida mwishoni mwa wiki hii, imebainika kuwa baadhi ya mila hukeketa hata watu waliokufa.
MPENZI msomaji, yapo mambo mengine ukiyasikiliza unabakia kucheka badala ya kusononeka. Ndipo ninapojiuliza; tutaondokana na vifungo hivi lini?
NIANZE kwa kuelezea kidogo maana ya neno uzalendo; kwamba ni hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake hilo mbele. Neno hili ni dogo lakini maana inayobebwa na...