SAFU »

07Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

SARAKASI zinaendelea kwenye uchaguzi wa Meya wa Manispaa za Temeke, Kinondoni na Jiji la Dar es Salaam, huku kinachoangaliwa kikiwa siyo haki ya chama chenye madiwani wengi kuongoza, bali nguvu ya...

07Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

Katika sehemu ya kwanza Jumapili iliyopita, tuliona madhara ya kutomaliza dozi ya dawa ambazo mgonjwa ameandikiwa na daktari na kupewa kwenye dirisha la dawa.

06Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAJUA kilichotokea siku ya kwanza ya duru la pili la Ligi Kuu ya Vodacom katika majiji ya Tanga na Dar es Salaam?
Jijini Tanga hususan kwenye uwanja maarufu wa Mkwakwani, wenyeji Coastal...

05Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAKAZI bora ni yale yanayojitosheleza katika miundombinu hata kuwezesha kila aina ya taka inayozalishwa kuhifadhiwa ama kutupwa katika sehemu maalum kwa ajili hiyo.

04Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BARABARA ya New Bagamoyo jijini Dar es Salaam inayopanuliwa kipande kifupi chenye urefu wa kilomita 4.3, kutoka Mwenge-hadi Morocco ujenzi wake upo katika hatua za mwisho.

03Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

SERIKALI imetangaza kutotangazwa moja kwa moja kwa sehemu yote ya vikao vya Bunge linalofanyika mjini Dodoma kupitia Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), lengo likielezwa kuwa ni kupunguza...

03Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA zaidi ya miwili iliyopita, serikali ilianzisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na kuipa jukumu la kukusanya taarifa kwa lengo la kutambua watu wanaoishi nchini kwa kushirikiana na...

02Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Tesa

"NAMSHUKURU sana msadizi wa ndani wa nyumbani kwetu, Jenina Mdede, amenisaidia mambo mengi katika maisha yangu hususan kwenye masomo. Alinipa msukumo mkubwa wa kusoma na kunitaka kila nitokapo...

02Feb 2016
Nipashe
Tesa

SEKTA ya Elimu bado imegubikwa na changamoto nyingi licha ya kuwapo jitihada nyingi zinazofanywa na serikali na mashirika mbalimbali yasiyo ya serikali ili kuhakikisha kuwa inapiga hatua.

02Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA muda mrefu sasa tangu baadhi ya maeneo au vipande vya barabara baadhi havizidi hata mita 200 kuchakaa kwa kuibuka mashimo lakini bila kukarabatiwa.

29Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIJI mikubwa ya Tanzania, ikiwamo Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es Salaam inakua kwa kasi siku hadi siku.
Kasi ya ukuaji wake inajiotofautisha kabisa na jhaloi ilivyokuwa ukilinganishwa na...

28Jan 2016
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2009, Serikali ilizima ndoto za Watanzania waliokuwa wamepanda mbegu katika Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci), iliyoonekana kama mkombozi wao kutokana na...

26Jan 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Tesa

Mwaka 1994 Joyce Bazira aliajiriwa na kampuni ya The Guardian akiwa mwandishi wa kawaida.Katika safari yake hiyo ya taaluma, baada ya miaka kadhaa alijikuta akikwea na kushika nafasi nyeti katika...

Pages