SAFU »

17Apr 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWA na taarifa ambazo hazijathibitishwa kwa pande zote kuwa kipa namba mbili wa Klabu ya Simba, Beno Kakolanya amefikia makubaliano na Singida Big Stars kwa ajili ya kuichezea timu hiyo msimu...

12Apr 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIMBA kwa wanafunzi zimeendelea kuwa tatizo sugu nchini kwa kipindi kirefu, licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau wa elimu, katika kushughulikia ili kuhakikisha watoto wa kike...

03Apr 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIMBA kwa wanafunzi zimeendelea kuwa tatizo sugu nchini kwa kipindi kirefu, licha ya jitahada mbalimbali za serikali na wadau wa elimu, katika kushughulikia, li watoto wa kike wanatimiza ndogo zao...

06Mar 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KESHO, Jumanne na Jumatano, Tanzania, hasa jijini Dar es Salaam, kutakuwa na pilikapilika kubwa wakati wawakilishi wa Tanzania kwenye michuamo ya kimataifa, Simba na Yanga zinatapocheza mechi zao...

20Feb 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wanachama na mashabiki wa Simba wameonekana kukata tamaa kwa timu yao kusonga mbele kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kufungwa mabao 3-0 na Raja Casablanca kutoka...

16Feb 2023
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la wafugaji na wakulima, kuuwana na kupeana majeraha limekuwa kitu cha kawaida, jambo ambalo kama halitafanyiwa utatuzi wenyetija linaweza kupelekea kutokea kwa maafa makubwa nchini.

10Feb 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MRADI wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita tano kutoka kijiji cha Kusenyi hadi Suguti, wilayani  Musoma mkoa wa Mara, ulianza Julai mwaka 2019, kwa matarajio kumalizika siku kama hiyo...

07Feb 2023
Jenifer Gilla
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA na mataifa mengine inapiga kampeni ya ‘ziro kwa ukeketaji’ na inaungana na nchi nyingine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutovumilia Ukeketaji.

06Feb 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KABLA sijaenda mbali napenda kutoa pongezi kubwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi nchini, Nassor Hamdoun ambaye ni mwamuzi wa zamani wa kimataifa kwa kusimamia vema waamuzi wanaochezesha Ligi...

04Feb 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa imekuwa gumzo barani Afrika, si tu kwa wachezaji wengi kumiminika kuja kucheza tu, lakini kwa sasa imetajwa ni moja kati ya ligi bora, zenye mvuto na kukamata...

03Feb 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWANZA kabla ya yote, niseme tu kuwa somo la hisabati halijawahi kuwa rahisi popote pale duniani, achilia mbali Tanzania.

25Jan 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MACHO na masikio ya wanachama na wapenzi wa CHADEMA wa Dar es Salaam na vitongoji vyake, leo yatakuwa yameelekezwa katika Uwanja wa Mwembe Yanga Temeke, kumsikiliza Tundu Lissu, baada ya kurejea...

24Jan 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mambo yanayosababisha kuwapo kwa maendeleo duni ya wanafunzi darasani, ni utoro ambao unachangiwa na sababu mbalimbali kama majukumu mengine wakati wa masomo.

Pages