MAONI YA MHARIRI »
Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 madarakani akiwa ni rais wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki na Kati.
NI rasmi Simba, Yanga na Azam zitaiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kimataifa kwa msimu mpya wa 2021/22 unaotarajiwa kuanza mapema...
HIVI karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, alieleza jumla ya watumishi wa umma 70,437 kati ya 91,...
BAJETI ya mwaka 2021/22 imepitishwa na Bunge kwa ajili ya kuanza utekelezaji kuanzia Julai mosi, mwaka huu, kwa kodi mpya kuanza kufanyakazi.
SERIKALI za Jamhuri ya Muungano na Zanzibar zimetoa tahadhari dhidi ya mlipuko mpya wa janga la corona, na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari...
HONGERENI wakuu wa wilaya mlioteuliwa. Kwa wapya mna mengi ya kujifunza na kubwa zaidi ni kuwa na hofu ya Mungu na kuwajali watu mnaowatumikia kwa...
VUGUVUGU la kuelekea dirisha la usajili tayari limepamba moto licha ya kwamba dirisha hilo halijafunguliwa kutokana na msimu wa 2020/21 kubakisha...
JUZI serikali ililieleza Bunge kuwa kupitia mpango kazi wa kuzalisha vitambulisho, inatarajiwa kuwa ifikapo Agosti, mwaka huu, wananchi wote...
LEO ni Siku ya Mtoto wa Afrika, mahususi kwa ajili ya kukumbuka mauaji waliyofanyiwa wanafunzi wa Soweto, Afrika Kusini Juni 16, mwaka 1976.
JANA wabunge walianza mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2021/22, ambayo ndiyo wakati wa wawakilishi wa wananchi kwenye muhimili huo kutoa...






