MAONI YA MHARIRI »

26May 2021
Nipashe

KILIO kikubwa cha wabunge juzi kwenye Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo ni kukosekana kwa masoko, kilimo cha kutegemea mvua,...

25May 2021
Nipashe

UTII wa sheria zikiwamo za usalama barabarani bila shuruti ni hatua muhimu ambayo kwa kiasi kikubwa unapunguza ajali zikiwamo za kizembe ambazo...

20May 2021
Nipashe

USALAMA na ulinzi wa mali za watu hauna mbadala. Yanapotokea matukio ya kutishia maisha na amani kila mmoja anapata hofu na kutaka kujua...

19May 2021
Nipashe

MGAWANYO sawa wa keki ya taifa (bajeti), ni kilio cha wabunge wengi, huku wakitoa mifano ya barabara ambazo ni ahadi za marais wanne, lakini hadi...

18May 2021
Nipashe

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama na serikali kwa kusuka timu anayotaka kushirikiana nayo katika awamu ya sita...

17May 2021
Nipashe

HATIMAYE wawakilishi pekee wa Tanzania, Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba, wameanza vibaya...

14May 2021
Nipashe

MJADALA wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, umetawaliwa na kilio kikubwa cha...

13May 2021
Nipashe

TUNALIPONGEZA Bunge kwa kukumbusha jambo la msingi la afya ya Watanzania kuhusu chanjo ya corona, ambayo hadi sasa haijawa na jawabu la kuridhisha...

12May 2021
Nipashe

KATIKA michango ya wabunge kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji, walipaza sauti kuhusu ukosefu wa maji na upotevu mkubwa wa...

11May 2021
Nipashe

KATIKA moja ya mambo ambayo yameumiza vichwa vya Watanzania, ni pamoja na uhaba na ughali wa mafuta ya kula, ambao umesababisha walazimike...

Pages