MAONI YA MHARIRI »

26Apr 2021
Nipashe

MASHABIKI ni watu muhimu sana katika viwanja vya michezo mbalimbali kokote hapa duniani.

24Apr 2021
Nipashe

HATIMAYE uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza benchi jipya la ufundi litakaloongozwa na Kocha Mkuu, Mtunisia Nasreddine Nabi, ambaye ametua na...

23Apr 2021
Nipashe

TOLEO letu la jana nilikuwa na ripoti iliyoangazia kasi ya ongezeko la wanafunzi iliyochagizwa na kuanza kutekelezwa kwa Mpango wa Utoaji wa...

22Apr 2021
Nipashe

KUNA malalamiko ambayo yamekuwa yakitolewa mara kwa mara katika siku za karibuni, kuhusiana na namna wasimamizi wasaidizi na makarani katika vituo...

21Apr 2021
Nipashe

KATIBA ya Tanzania imeweka bayana madaraka ya Bunge kuwa ni kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti...

20Apr 2021
Nipashe

SUALA la mafuta ya kula kuwa changamoto kila wakati limeanza kuwa kama jambo la mazoea. Kama ambavyo sukari nayo inafika kipindi ikaondoka sokoni...

19Apr 2021
Nipashe

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wanachosubiri ni kujua mpinzani wao wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo...

17Apr 2021
Nipashe

WASWAHILI wanasema kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara ndio inaelekea ukingoni zikiwa zimebakia raundi...

16Apr 2021
Nipashe

LEO Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kinafanya uchaguzi wa rais ambaye kwa mujibu wa katiba yao anakaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja...

15Apr 2021
Nipashe

JUZI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alieleza bungeni nia ya serikali kushirikisha wadau katika kutoa maoni yao kwenye mapitio ya kanuni za...

Pages