MAONI YA MHARIRI »
LEO mkutano wa awali wa Umoja wa Mataifa kujadili mifumo salama ya kuzalisha chakula duniani, unahitimishwa, jijini Roma Italia ukiwa umeangazia...
SERIKALI imekuja na mwongozo mpya wa kupambana na virusi vya corona, huku ikipiga marufuku mikusanyiko mikubwa ya kijamii, zikiwamo sherehe,...
JANA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema chanjo zimefika nchini na anayehitaji kuchanjwa yupo huru kuchanjwa wakati wowote, katika vituo maalum...
JANA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, alipiga marufuku kuingia na silaha kwenye maeneo ya starehe kama baa, kambi za muziki...
JUMLA ya wanafunzi 981 wilayani Kibondo, mkoani Kigoma walipata mimba katika kipindi cha miezi sita, Januari hadi Juni, mwaka huu, sasa wako...
JUNI 17, mwaka huu, eneo la Sinza, jijini Dar es Salaam, kulifanyika mauaji ya kutisha baada ya mfanyabiashara Alex Koroso (37), kumshambulia...
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21 imefikia tamati jana, kwa mabingwa Simba kukabidhiwa kombe lao ikiwa imelitwaa kwa mara ya nne...
JANA kampuni za simu zilianza kutekeleza tozo mpya iliyopitishwa kwenye Bajeti ya mwaka 2021/22 ambayo ni kukata kati ya Sh. 10 hadi 200 kwa siku...
JANA ilikuwa ni kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa, aliyezaliwa katika Kijiji cha...
JUMAMOSI soko la kihistoria la Kariakoo liliteketea moto katika mazingira yenye utata, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likishindwa kukabili moto...






