SAFU »
UKIPATA bahati ya kuingia kwenye vyoo katika vituo cha mabasi ya daladala na hata vya kusafiri mikoani na nje ya nchi, halafu ukaenda kuingia kwenye vyoo vya masoko utakutana na vitu viwili...
WATANZANIA wanalazimika kutambua wajibu wao wa kutunza na kuyahifadhi mazingira na kuachana na fikra kuwa ni jukumu la serikali na viongozi pekee yao. Wafahamu kuwa ni kazi ya wote ili...
VYAMA vya siasa ni nguzo muhimu katika ujenzi wa demokrasia ya uwakilishi.
KUWAPO kwa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka pamoja na Usafi wa Mazingira mijini ni ufunguo wa upatikanaji maji kwenye maeneo mengi ambayo...
KAMA una sababu binafsi ndiyo unaweza kuona Shirikisho la Soka nchini (TFF), halifanyi kitu chochote kwa ajili ya kuendeleza soka nchini, lakini endapo utasimama kama mwanasoka halisi, utagundua...
KUNA haja wazazi kupewa elimu juu ya malezi, ili kupunguza vifo vya wazazi kuwaua watoto wao kwa kuwapa adhabu zisizo stahili au kuwakatili wakiamini kama wanawaonya.
TAARIFA za mamia kufeli mitihani kwenye Shule Kuu ya Sheria jijini Dar –Es-Salaam, zimetikisa vichwa vya habari kwenye taarifa za habari na mijadala kwenye mitandao ya kijamii, kiasi cha kuibua...
KAMUSI ya Kiswahili Sanifu ya 2004, inaelezea maana ya maadili kuwa ni mwenendo mwema, onyo au mafundisho yanayotolewa kwa njia mbalimbali kwa wanajamii kuanzia watoto hadi watu wazima.
INAWEZEKANA nchini India, Ufaransa au watu wa nchi zingine zinazoshiriki Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 17, mwaka huu, walikuwa hawafuatilii sana habari za Tanzania, lakini sasa...
UKIFUNGUA gazeti, kusikiliza redio au kuangalia televisheni kwa siku za karibuni kumekuwa na taarifa nyingi za kusikitisha na kushangaza kwa wakati mmoja.
MBAAZI ni kati ya mazao jamii ya mikunde ambayo kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, sifa kubwa ya jumla ya mazao hayo ni kuwa na kiwango kikubwa cha protini, ikilinganishwa na zinazopatikana kwenye...
KUNA haja wazazi na walezi kupewa elimu ya malezi ili kupunguza vifo vya watoto wao wanaowaua kwa kuwapa adhabu kubwa au hata ulemavu, kuwaachia makovu na majeraha moyoni kwa kuwapiga kupindukia...
IMETIMIA miaka 23 tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alipofariki dunia, huku akiicha Tanzania ikiwa kwenye mikono ya viongozi wengine waliofuata baada yake.